eFootball Special Thread

Selikavu tutaendelea siku nyingine. Mechi zako zinaumiza kichwa kuzuia hizo through ball mwanzo mwishio ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Aah sawaa kaka๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒnataka nihamie LBC sasa


Me naendelea kujifunza kaka โœŠโœŠ
 
Nimegundua jinsi ya kukufunga

Sitakiwi kucheza mpira mzuri dhidi yako kutumia mawinga sijui nini. Pia sitakiwi kupoteza mpira kati kati ya uwanja maana ukiupata mpira kati kati pedri/ De jong anapiga through ball moja kwa Torres/Mbappe/Owen kisha wana turn then boom๐Ÿ˜€.

Solution ni kutumia mipira mirefu na through ball kwa ma forward wangu pia ku overload forward kwa kutumia striker watatu ambao huwezi ku wa mark wote.
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒMbona kama unataka kunipiga hamsa kaka๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ