Hongera mkuu dilemma imeisha ๐Baada ya kumsema sana Owen jana leo asubuhi View attachment 3333250
Dah hongera sana.Baada ya kumsema sana Owen jana leo asubuhi View attachment 3333250
Sasa kwa beki gani nilizonazo hizi kumkaba Owen na Batistuta ๐Kwanza naanza kwa kumshukuru mama samia kwa kuniwezesha kumpata owen Asubuhi hii ya leo Mama anaupiga mwingi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Baadae nitakuja na mapambio ya kumsifia Owen
Namie kanimaliza ๐Hongera mkuu dilemma imeisha ๐
Huna hata Rice kwan kaka??Ni sub tu huyo ๐
Hakuna mchezaji ambae hana udhaifu mfano mzuri ni Batistuta na Owen ๐
Jana walizingua waoBasi huenda ilikuwa ni wao wenyewe tu.
๐๐Kwa namna mlivyomsema Batistuta embu ngoja nitulie kwanza๐๐ nifikirie card nyingine paleHongera mkuu dilemma imeisha ๐
Sina mkuu mie huwa hawanipi nachotaka sijui wanashida gani na mimi ๐Huna hata Rice kwan kaka??
Ungeendelea na msimamo wako wa kumsupport Batistuta over OwenDah hongera sana.
Mie wananipa makoro tu ๐
Zile beki wanasema za kawaida we angalia kwa viungo.๐๐Kwa namna mlivyomsema Batistuta embu ngoja nitulie kwanza๐๐ nifikirie card nyingine pale
Mabeki zako watapikwa mnoSasa kwa beki gani nilizonazo hizi kumkaba Owen na Batistuta ๐
Chama kidumu ๐Dah kweli ma jobless pro max sio watu wa kawaida, asubui game mapema,๐๐
Tafuta beki za kueleweka kaka oooh๐คฃ๐คฃ๐คฃNamie kanimaliza ๐
Wewe asubuhi yote hii unafanya nini Jf๐๐Dah kweli ma jobless pro max sio watu wa kawaida, asubui game mapema,๐๐
Wananizingatia sana aisee, hawana huruma na mimi ๐Ungeendelea na msimamo wako wa kumsupport Batistuta over Owen
Leo wangekupa na wewe๐
Efootball wanapita humu siku moja moja ๐๐๐
Me ninae yupo zake Reserve huko๐๐Sina mkuu mie huwa hawanipi nachotaka sijui wanashida gani na mimi ๐
Kuna pisi ina zagaa zagaaWewe asubuhi yote hii unafanya nini Jf๐๐
Nitakuwa tayari kula nyekundu ๐Mabeki zako watapikwa mnoView attachment 3333268