Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Imekushinda kucheza na smart assist au bila smart assist?Me imenishinda kaka ๐๐
NEGAN kaona coins na wewe umeona GP ๐Me bado kaka hizo GP Zako hazina kazi ๐๐
Na smart assist sijaenjoy game kabisa ๐๐๐Imekushinda kucheza na smart assist au bila smart assist?
Kila mtu anaona anachohitaji๐๐
Mie nilivyoanza kucheza hili game niliweka smart assist moja kwa moja.Na smart assist sijaenjoy game kabisa ๐๐๐
Mie nimesema nazichanga hizo mpaka ziwe nyingi ๐Kila mtu anaona anachohitaji๐๐
Ipo damuni wewe huwezi acha๐๐Mie nilivyoanza kucheza hili game niliweka smart assist moja kwa moja.
Zitumie tu hazina kazi๐๐Mie nimesema nazichanga hizo mpaka ziwe nyingi ๐
Kuna game leo kanifunga Mill broh kuna muda mbappe kapewa pasi kadrible toka katikati ya uwanja hakuna mtu anamkimbiza kafika golin nataka kupiga message ikingia mtandao ukagoma nikakosa goli aseee nilitukana matusi yote๐คฃ๐คฃ๐คฃZimebaki points 10 kwenda dvn 1 halafu dakika ya 89 unakosa goli ๐
View attachment 3329188
Mkuu nimetoka kucheza bila smart assist mechi kadhaa kwa upande wangu sijaona utofauti mkubwa.Ipo damuni wewe huwezi acha๐๐
View attachment 3329205
Mbona nazitumia sema ni vile tu hakuna vitu vingi vya kununua.Zitumie tu hazina kazi๐๐
Daah! ๐Kuna game leo kanifunga Mill broh kuna muda mbappe kapewa pasi kadrible toka katikati ya uwanja hakuna mtu anamkimbiza kafika golin nataka kupiga message ikingia mtandao ukagoma nikakosa goli aseee nilitukana matusi yote๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ndo maana nimesema ipo damuni kwako ๐ me naona kama nilishazoea kucheza bila smart assistMkuu nimetoka kucheza bila smart assist mechi kadhaa kwa upande wangu sijaona utofauti mkubwa.
Umepita shop kule kwenye Gp products mpya walizoleta??Mbona nazitumia sema ni vile tu hakuna vitu vingi vya kununua.
Moja ya kitu nilichojifunza ukicheza bila smart assist ni lazima ujue kupiga pasi sahihi kwa wakati sahihi, namaanisha lazima ujue kwenye eneo gani inahitajika kugusa button ya pass na eneo gani inahijika kugusa button ya through.Ndo maana nimesema ipo damuni kwako ๐ me naona kama nilishazoea kucheza bila smart assist
Eeh kaka me ni changamoto hicho adi leo...๐๐..Moja ya kitu nilichojifunza ukicheza bila smart assist ni lazima ujue kupiga pasi sahihi kwa wakati sahihi, namaanisha lazima ujue kwenye eneo gani inahitajika kugusa button ya pass na eneo gani inahijika kugusa button ya through.
Nilipita nikanunua booster tu.Umepita shop kule kwenye Gp products mpya walizoleta??
Nimejaribu mara kadhaa na nitaendelea kufanya hivyo ili niachane na matumizi ya smart assist, ila hawa AI naona wako faster sana ๐Eeh kaka me ni changamoto hicho adi leo...๐๐..
Me position training nanunua mno๐๐๐nataka saliba apate DM ๐คฃ๐คฃ๐คฃNilipita nikanunua booster tu.