eFootball Special Thread

Kaka huyu si ndio mimi mbona nimepigika kipigo kitakatifu hivyo๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ
Owaa kumbe ni Id yako๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃme hata sijui nilishasahau nikajua ni moja ya watu wangu wa Online๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Kaka naomba tuludi tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚game ya kwanza ulichonifanya sijapenda ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mill broh muda ule simu iliishiwa moto kaka... Ndo maana nikasepa๐Ÿ˜ƒ

Bora nimekupata twende tena ukipata time... Tupate game nyingi kadri ya uwezo wetu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Game ya kwanza imeniuma umeniua kikatili mno๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huyu jamaa huwa namkwepa hata nikimkuta online ๐Ÿ˜‚.
 
Idumu haram football idumu๐Ÿ˜ƒ
Niwe mkweli tu hii harram football hainifanyi niburudike ndiyomaana naitumia kwenye dvn tu kwasababu ndiyo mpira unaotumika kule kwa asilimia kubwa.

Ukizoea harram football ni ngumu kufurahia game labda iwe unataka tu matokeo na siyo kupata matokeo kwa kucheza mpira mzuri.
 
Harama unatumia pale mbinu zote zimegoma au mpinzani wako unaona kabisa kakuzidi uwezo kila pass ana intercept. Au imebaki mechi moja upande hapo ndio inatumika.l si muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ