Hapana siyo kwamba mimi nilitaka kununua lah hasha naona umenielewa vibaya lengo langu lilikuwa kwanza kupata uahakika lakini kuelewa kinachoendlea huko kwetu maana kama ningukuwa na hitaji hivyo vifaa hapa nilipo vipo vingi tu.Ipole sana tu unataka kununua na wewe pia, baada ya kuzunguka sana na kulikosa hilo duka ndo unasema kuwa ulikuwa unataka kuhakikisha. me naona ni bora uwaulize hao wenye hilo gazeti la udaku ndo watakuambia lipo sehemu gani.
Kwani kama ulitaka kununua kunatatizo gani?Hapana siyo kwamba mimi nilitaka kununua lah hasha naona umenielewa vibaya lengo langu lilikuwa kwanza kupata uahakika lakini kuelewa kinachoendlea huko kwetu maana kama ningukuwa na hitaji hivyo vifaa hapa nilipo vipo vingi tu.
....Umeshasema ni gazeti la udaku...achana na huo uchafu hakuna kitu hapo....Nilisoma gazeti moja la udaku likielezea kwamba kuna duka limefunguliwa maeneo ya Posta jijini Dar es salaam .Na kwamba duka hilo linajushughulisha na kuuza bidhaa za kisasa zinazotumika wakati wa kufanya mapenzi ikiwemo mipira ya kiume poda maalumu ambayo akina mama wanapaka na huwaongezea raha wakati wa kufanya mapenzi.
Sasa mimi nilipokuwa hapo dar nimejaribu kulitafuta hilo duka sikuweza kulipata sijui hilo gazeti la udaku lilikuwa halisemi kweli lengo langu ilikuwa nipate uhakika ili niwape taarifa kamili wana JF waweze kujua mambo yanayondelea katika jiji lao. Kama kuna mwana JF anayejua eneo lilpo duka hilo basi atueleze.
Fungua tu wa kukaya lakini take care si unajua watu wa hukoSexy Shop? Hii Hiii, mie ntafungua Sikonge na kuwa wa kwanza kwa haya maswala. Najiuliza tu kama wana PEEP SHOW, maana ntakuwa kama Changu Doa na kuchuna visenti za vijana wee!!! Watakuja kuwa Busy kama ile clip ya Jermnain Dupri na Janet Jackson ya wimbo "Gotta Getcha". Kitakachokosekana ni Prof. Emolo pale Mlangoni.
Asante ndugu yangu kwa kuniweka sawa maana jamaa walikuwa wananizonga sanaKwani kama ulitaka kununua kunatatizo gani?
Hamna shida mkuu,endelea kulitafuta.
Wa kukaya vipi mbona umekuwa kimya hujanijibu au ndiyo uko kwenye pilikapilika za kufungua hilo duka teh teh tehSexy Shop? Hii Hiii, mie ntafungua Sikonge na kuwa wa kwanza kwa haya maswala. Najiuliza tu kama wana PEEP SHOW, maana ntakuwa kama Changu Doa na kuchuna visenti za vijana wee!!! Watakuja kuwa Busy kama ile clip ya Jermnain Dupri na Janet Jackson ya wimbo "Gotta Getcha". Kitakachokosekana ni Prof. Emolo pale Mlangoni.
....Mh!!! Ninavyowajua watu wa sikonge kwa kupenda vitu asilia sijui kama atapata wateja....Wa kukaya vipi mbona umekuwa kimya hujanijibu au ndiyo uko kwenye pilikapilika za kufungua hilo duka teh teh teh
wanasheria wana JF naomba ushauri,hivi ukifungua duka la sex toys ni kosa la jinai hata kama huuzi pornographic material kama books na videos bali uuze vitu vingine kama condoms special,dildos etc ?
Kwani we kipanga umerudi lini huko maana watu sasa wanaendelea Sikonge siyo ile ya miaka 90....Mh!!! Ninavyowajua watu wa sikonge kwa kupenda vitu asilia sijui kama atapata wateja....
Doh hii nomaNilisoma gazeti moja la udaku likielezea kwamba kuna duka limefunguliwa maeneo ya Posta jijini Dar es salaam .Na kwamba duka hilo linajushughulisha na kuuza bidhaa za kisasa zinazotumika wakati wa kufanya mapenzi ikiwemo mipira ya kiume poda maalumu ambayo akina mama wanapaka na huwaongezea raha wakati wa kufanya mapenzi.
Sasa mimi nilipokuwa hapo dar nimejaribu kulitafuta hilo duka sikuweza kulipata sijui hilo gazeti la udaku lilikuwa halisemi kweli lengo langu ilikuwa nipate uhakika ili niwape taarifa kamili wana JF waweze kujua mambo yanayondelea katika jiji lao. Kama kuna mwana JF anayejua eneo lilpo duka hilo basi atueleze.
Unafungwaaawanasheria wana JF naomba ushauri,hivi ukifungua duka la sex toys ni kosa la jinai hata kama huuzi pornographic material kama books na videos bali uuze vitu vingine kama condoms special,dildos etc ?
Kwa sababu umesoma gazeti la udaku, move this thread kwenye utani na udaku.
Sexy Shop? Hii Hiii, mie ntafungua Sikonge na kuwa wa kwanza kwa haya maswala. Najiuliza tu kama wana PEEP SHOW, maana ntakuwa kama Changu Doa na kuchuna visenti za vijana wee!!! Watakuja kuwa Busy kama ile clip ya Jermnain Dupri na Janet Jackson ya wimbo "Gotta Getcha". Kitakachokosekana ni Prof. Emolo pale Mlangoni.
Kwani kama ulitaka kununua kunatatizo gani?
Hamna shida mkuu,endelea kulitafuta.
....Mh!!! Ninavyowajua watu wa sikonge kwa kupenda vitu asilia sijui kama atapata wateja....
...mimi najionea maruweruwe...
miaka mingi tu nimejionea chachandu na 'mkuyati mkaluti msimika mwinula' unauzwa wazi wazi mitaa ya kariakoo, na hao 'madokta' wa kizigua na kimassai wala hawaoni taabu kukuelimisha hadharani matumizi yake.
wana jf hivi mi naona ni dhambi kuuza au kumiliki sex toys!!
Mbona hamsemi hizo sex toys zinakopatokana Dar? Mmebaki mnalumbana tu majibu hamtoi
Mbona hamsemi hizo sex toys zinakopatokana Dar? Mmebaki mnalumbana tu majibu hamtoi