Omar Ilyasi akiona hivi anatamani kujinyonga ... waberoya ndiye kabisaaaa kaaamua kuanza mbele ya safari
Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mbalizi mkoani Mbeya, kwenye Uwanja wa Stendi ya Mabasi. (Picha na Joseph Senga)
Mkuu, wewe wasiliana na mods watakusaidia kwa haraka. Tuma kwenda support@jamiiforums.com watakuelekeza kirahisi hawa jamaa. Nashindwa kukuelekeza mimiHivi mbona mimi niki attach file kinatokea kipicha kidogo sana, kuna pics nyingi nimetumiwa na Watu wa Mbeya lakini nashindwa kuziweka hapa katika mapana yake
Majjid anasemaje kuhusu umati huu?
atakuletea hadithi za togwa kama sio ulansi,Majjid anasemaje kuhusu umati huu?