Ushahidi upo, nakuunga mkono mtoa mada. Vyombo vya habari vili ripoti hizi janja za hawa wanaong'ang'ania madaraka. kwa hili halina ubishi, na evdence zipo za kutosha, watu wamekamatwa. Kwa mtu yeyote asie na mtindio wa ubongo haihitaji kuwa degree holder kutambua huu mchezo.
Mimi naishi buguruni,nimepiga kura pale malapa,na kuna jamaa mmoja alikamatwa akiingiza fom ya kupiga kura zikiwa mbili, so pale msimamizi alimuona akiangaika kuingiza fom mbili kwa mpigo akishindwa,zilipoangaliwa zilikutwa zote zimetikiwa kikwete,pia na uko tabora alikamatwa mtu akiwa na fom 6 zikiwa zimeshatikiwa kikwete akisubili kuingia kupiga kura,je la kujiuliza wamefanya watu wangapi hayo mambo?
Pili je tume imelichukuliaje ilo,je kweli huo ulikuwa uchaguzi wa haki,Dr slaa anataka kama kuna kasoro kama hizi zitolewe ufafanuzi,na matokeo yafutwe kwani wapo wengi wamafanya mambo haya, je wadau mnasemaje?
Maana inasemekana waliofanya mambo hayo ni wale vijana wa green guard, na walikuwepo kama laki 3,so kama kila mmoja kapiga kura ya uraisi mara mbili,jiulize watokeo yatakuwa ya kweli hayo?
tatizo letu watanzania hatuna utanzania ndani yetu bali tuna UCCM na UCHADEMA, kwanini tusikae na kuona kwamba tanzania ikiendelea ni yetu sote na sio ya CCM wala CHADEMA? humu JF ukiangalia ni UCCM na UCHADEMA asilimia kubwa, swala lililoko mbele yetu ni kuweka mambo sawa na kusahau tofauti zetu kwa kujali haki. na kama haki haikutendeka na CCM au CHADEMA basi sheria ufuate mkondo wake.
Kheeee heeeee heeeee! Kashinda sio?Pamoja na watu kupiga kura mara mbili na zaidi bado Dr. Slaa kashinda..
Pumba tu nyie watu wa Buguruni...mna story za uongo mda wote