mungu ataleta mujiza kipindi hiki na pia atawalaani wale wote watakao chakachuo matokea ya urais
wakuu,
ni siku chache zimebaki watanzania tutakapopiga kura kuchagua viongozi wetu ( wawe watu au chama!)
ni wazi, kwa sasa kila mtanzania mwenye haki ya kupiga kura atakuwa ameshasikiliza sera za vyama mbali mbali katika kampeni zinazoendelea kwa sasa.
Baada ya kusikiliza kampeni za vyama mbali mbali, binafsi nimeona kwamba dr slaa anafaa kuwa rais wa nchi yetu.
Pengine mkuu yeyote anaweza kuniuliza ni kwanini. Majibu yako mengi lakini hasa; dr slaa-
kutokana na hayo, dr ws anafaa kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 31 oktoba, 2010.
- ni mjasiri anayetetea maslahi ya taifa (sote tumeshuhudia bungeni).
- anatoa matumaini kwa watanzania walio wengi kupitia sera ya elimu bure.
- anaahidi vitu vinavyotekelezeka, mfano kupunguza kodi ya vifaa vya ujenzi.
- tunamuamini tunamhitaji.
- ongezea...!
Mungu ibariki afrika! Mungu ibariki tanzania!
Nawasilisha!!!
dr tsaaa hafai kuwa kiongozi wa nchi yoyote ile hasa yenye utajiri kama hii, Mang'ola ni mfano halisi wa nchi hii, kwani ina utajiri mkubwa sana wa ukulima wavitunguu, na wakulima ni matajiri, huyu mbunge wa hapo yaani tsaa,
hajaweza kuwasaidia wakulima hao kitu chochote kwamiaka 15ya ubunge, alihitaji kuwahamisisha tu wachange na yeye awasaidie kuleta umeme, na barabara ya kupitisa mazao ,tumeona kwa macho juzi kwenye ziara ya rais jk karatu,pia tumeonyeshwa kibanda cha udongo cha kwake lo raisi ambae hata Hawezi kubadili maisha yake kuwa bora atamuongoza nani. wakazi pale wengi wana nyumba nzuri ila yeye. m/kiti wa kijiji amekiri utendaji mbovU wa tsaa, na kurudisha card yy na wafuasi wake, hii ni kuthibitisha jinsi gani walivyocHoshwa na ahadi za uongo,
DR,TSAA HAFAI KUONGOZA HATA FAMILIA YAKE IWEJE ATUONGOZE SISI WATZ
Kuelekea uchaguzi mkuu tutashuhudia mengi....
Kama wagombea wenyewe ni kina EL na Wasira kweli yapo mengi yakushuudia mkuu.