Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
acha woga!!! jimbo litabaki na mengine yataongezeka. ukombozi wa Tanzania ni sasa!! tuna imani sana na Dr. SlaaNamuamini sana Dr lakini kwahili naona kama anaenda kuliweka jimbo la karatu rehani
CCM yajulikana kwa fitina na mizengwe ndani na nje ya chama! Kikubwa chenye matamanio yangu ni kwamba - Dr. Slaa anapewa ulinzi madhubuti na afya yake inatiliwa maanani na kulindwa. Pilikapilika ni nyingi, na katika vikumbo vya hapa na pale katika hizi kampeni, ulinzi na afya vyaweza kuwa overlooked. Usalama kwanza! Haitopendeza kuanza kusikia story kama za akina Yushchenko wa Ukraine...
Nawatakia kampeni njema.
GS tuhabarishe kila kinachojiri
Na msikitikia sana dokta Maslaa, Ndio mwisho wake huu ametolewa kafara na Chadema!
Habari nitazileta.Atapokelewa saa tano mchana uwanja wa ndege wa Arusha na mamia ya wakazi wa Arusha na Moshi na kusindikizwa na magari mpaka Karatu.