CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kutoa elimu kwa wapigakura kwa njia ya kutoboa siri zote za ufisadi zinazoigusa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia wiki ijayo.
"Wananchi wana haki ya kujua serikali inafanya madudu gani; kwa nini imeshindwa kutawala na kwa nini wanapaswa kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura," ameeleza ofisa mmoja wa chama hicho.
Katika hatua hiyo ya kampeni za lala salama, viongozi wakuu wa CHADEMA wataandamana na mwasisi wa mageuzi nchini, Mabere Marando ambaye amepewa jukumu la kufafanua kwa kina, ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi kutoka Hazina na Benki Kuu (BoT).
Source Mwanahalisi:thinking::thinking:

Ijapokuwa uchaguzi umekwisha na CCM imerudi tena madarakani kwa kutwaa Urais na viti vingi vya wabunge zidi ya wapinzani wake, kwa maoni yangu ELIMU YA SIASA NA UZALENDO yapaswa kuwa ni agenda kuu ya vyama vyote vya upinzani. Wananchi waelimishwe katika kila maeneo ya uwozo wa siasa unaofanywa na chama tawala hapa nchini katika kipindi chote cha mwaka na haswa pale panapotokea wimbi la ufisaadi na si kusubiri tu wakati wa kampeni za uchaguzi kama ilivyofanywa na Chadema. Vyama vyote vya upinzani yawapaswa waungane katika swala zima la kuwaelimisha wananchi na waweke kando tofauti zao za kisiasa."Umoja ni Nguvu Utengano ni Uzaifu".
Tuko pamoja na Rais wetu wa mioyoni Mh.Dr.W.Slaa usikate tamaa Mungu anakutumia kuikomboa nchi hii,Watanzania wenzangu tumuunge mkono.CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kutoa elimu kwa wapigakura kwa njia ya kutoboa siri zote za ufisadi zinazoigusa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia wiki ijayo.
Chadema Jana waliendelea na Msimamo wao wa kuto kumtambua Ndugu Jakaya Mrisho kikwete kwa kutoka nje ya ukumbi wakat yeye anataka kuhutubia Bunge,,
Wabunge wote wa Cadema walikwenda nje huku wasaliti wa uchumi wa Tanzania wakipiga meza huku wakiwa hawajui wanashangilia nini,,
Mimi naona tuwaunge mkono tu ili movement hizi zifanikiwe jamani wametuonesha njia,, Kuhusu Katiba mambo yatakuwa Sawa kwasababu hadi wasomi chuo kikuu wameanza kuona kunauhitaji wa kubadili Katiba,,