Wadau
Kwa kuzingatia maelezo yaliyotolewa na Dk Slaa, NEC, TISS, CCM na wahusika wengine katika Uchaguzi, imebainika kuwa Dkt Wilbroad Slaa Amechakachua Barua.
Inasemekana kufuatia uchakachuaji wa Dkt WPS wa barua hio, mgombea huyo akaendelea na uchakachuaji wake EU.
Mtu yoyote mwenye ufahamu, wala hahitaji kuwa na PhD ataweza kutambua bayana kuwa hii Barua ni uchakachuaji wa Mhe Dkt WPS katika jitihada zake za kuipaka serikali na watumishi wake matope. Barua husika nime i attach.
Nawasilisha.

we makame barua hii tulikuwa nayo humu kabla ya Dr. kuipeleka hewani jana. Sema wewe ndio umeiona leo, angalia slides zilizopita.

hahahaaa! umeinama au umesimama? coz, zote hizo ni positions za CCM kukuchakachuaKuna kila mianya ya kuamini kuwa barua hiyo imechakachuliwa...hauna mtiririko wa kimantiki wala kubeba uzito wa unyeti wa yaliyomo, na aliyeiandika ni layman ambaye hajui barua nyeti ya kiofisi inaandikwaje. Cha zaidi haina kumbukumbu namba. Kuchamba kwingi....!!!
Jafar, huyu makame anahitaji msaada wa kueleweshwa kwamba asiingie jamvini kichwa kichwa, kakurupuka huko na mada iliyokuwa huku siku nyingi. Kama ni maoni yangu anapaswa kuwa.........:tape:
La MSINGI ni kwamba hii ndio Barua aliyoiwasilisha Dkt WPS kwa vyombo vya habari juzi akiituhumu TISS kwa uchakachuaji na kwamba NEC isiendelee kutangaza matokeo.
Sasa
1. JK anaapishwa Karimjee hivi sasa
2. Presidential contestants wote wapo, kasoro Dkt WPS. Hii ni dhahiri kuwa Dkt WPS (PhD) hana moyo wa ushindani; kwani asiyekubali kushindwa, sio mshindani.
3. Barua yoyote ya kiserikali ya SIRI lazima ipigwe mihuri ya SIRI na pia iwe na KUMB namba, vielelezo visivyokuwemo kwenye barua hii.
4. Serikali huwa haijihusishi na kuchakachua matokeo, na ni hatari sana kwa afisa wa Serikali kuandika barua yenye maudhui husika; hivyo kimantiki haiwezekani.
5. Mwisho kabisa, Serikali huwa haiandiki barua kwa LUGHA ya kichovu kama iliyomo kwenye barua hio.
Wadau
Nawasilisha.
Aidha; Ndugu Lema, nakupongeza kwa ushindi mnono ulioupata dhidi ya mwanamama kule Arusha; HONGERA SANA.
KWA SASA PIA TUSAHAU YA UCHAGUZI NA TUMPONGEZE JK kwa kupata kura za kuendeleza kumaliza ngwe yake Ikulu.
Wadau
Kwa kuzingatia maelezo yaliyotolewa na Dk Slaa, NEC, TISS, CCM na wahusika wengine katika Uchaguzi, imebainika kuwa Dkt Wilbroad Slaa Amechakachua Barua.
Inasemekana kufuatia uchakachuaji wa Dkt WPS wa barua hio, mgombea huyo akaendelea na uchakachuaji wake EU.
Mtu yoyote mwenye ufahamu, wala hahitaji kuwa na PhD ataweza kutambua bayana kuwa hii Barua ni uchakachuaji wa Mhe Dkt WPS katika jitihada zake za kuipaka serikali na watumishi wake matope. Barua husika nime i attach.
Nawasilisha.
Kuna kila mianya ya kuamini kuwa barua hiyo imechakachuliwa...hauna mtiririko wa kimantiki wala kubeba uzito wa unyeti wa yaliyomo, na aliyeiandika ni layman ambaye hajui barua nyeti ya kiofisi inaandikwaje. Cha zaidi haina kumbukumbu namba. Kuchamba kwingi....!!!