Ni kama unacheza karata tatu lakini ndugu yangu Mtanzania nataka kukuambia
ukweli nipo katika eneo ambalo viwanja ni dili kubwa sana unaweza kununua kiwanja
leo kwa Milioni mbili mpaka nane na ukaja kukiuza kwa milioni 50 mpaka milioni400 ndani ya siku
10 mpaka mwaka1 ni ajabu na kweli kwa atakayeniamini anipm tuongee zaidi. SI UTAPELI
Sema viko wapi acha ujanja
ujambazi wa mchana kweupeeee
hajalala mtu apa
Haka kamchezo nlikasikia Moro, jamaa anafanya biashara ya viwanja, ni kama jamaa alivyo andika kwenye sredi.
Kwanini usituwekee Nina la mahali kwenye hivi viwanja? Wewe bila shaka ni tapeli.
Huyu atakuwa tapeli kwann hataki kuwa mwazi badala yake u pm ili apate kukudanganya kiurahisi
si ununue vyote mkuu?Ni kama unacheza karata tatu lakini ndugu yangu Mtanzania nataka kukuambia
ukweli nipo katika eneo ambalo viwanja ni dili kubwa sana unaweza kununua kiwanja
leo kwa Milioni mbili mpaka nane na ukaja kukiuza kwa milioni 50 mpaka milioni400 ndani ya siku
10 mpaka mwaka1 ni ajabu na kweli kwa atakayeniamini anipm tuongee zaidi. SI UTAPELI
Wakuu nimetumia ustaarabu na uzalendo mkubwa kwa ndugu zangu Watanzania juu
ya hili dili, nasikitishwa na wale wanaoniponda kwani sina sifa hizo najua kama yeyote
atafanikiwa basi ni mafanikio ya ndugu zangu Watanzania kwa sasa niko Mozambique na hizo
namba ni za huko naomba kama mtu atapiga apige kesho mchana. NB hayo maeneo yako mozambique pia
SINA LA ZAIDI.