N nyumbamungu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 1,034 Reaction score 900 Jan 5, 2024 #1 Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi?
Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi?
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,497 Reaction score 27,814 Jan 5, 2024 #2 leo wanasheherekea birthday ya mwijaku kwaiyo wapo wanazindua nyumba huko kgamboni office nzima wapo likizo kwa leo
leo wanasheherekea birthday ya mwijaku kwaiyo wapo wanazindua nyumba huko kgamboni office nzima wapo likizo kwa leo
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,349 Reaction score 24,866 Jan 5, 2024 #3 nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Acha wafu wazikane.....
nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Acha wafu wazikane.....
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 30,253 Reaction score 48,118 Jan 5, 2024 #4 Hata clouds tv nayo haipo hewani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,690 Reaction score 198,156 Jan 6, 2024 #5 Ngoja waje...
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,294 Reaction score 22,469 Jan 6, 2024 #6 Kwani lazima?
D David Goliath JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 949 Reaction score 1,895 Jan 6, 2024 #7 nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Bado mnasikiliza Redio ? Hiiii bhagosha
nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Bado mnasikiliza Redio ? Hiiii bhagosha
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,358 Reaction score 62,425 Jan 6, 2024 #8 Itakua underground
kajunjumele JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,490 Reaction score 1,364 Jan 6, 2024 #9 nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Yaani hawa jamaa wanaboa,..Wanakata matangazo kama TANESCO vile,..naona wameshatuzoea wasikilizaji..
nyumbamungu said: Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi? Click to expand... Yaani hawa jamaa wanaboa,..Wanakata matangazo kama TANESCO vile,..naona wameshatuzoea wasikilizaji..
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,682 Reaction score 7,275 Jan 6, 2024 #10 Nilijua kwangu tuu, Jana toka asbh kimya
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 56,474 Reaction score 57,086 Jan 6, 2024 #11 Wanasafisha mic
C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,335 Reaction score 5,845 Jan 6, 2024 #12 Safiii