Bazobonankira
Senior Member
- Jan 18, 2007
- 120
- 61
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi! Ila wasiwasi wangu ni kuwa usijekuwa umechanganywa na majina ya kina Chupaki, Chukurubu, Chiatu etc sababu yanaanza na "CH".
Kwa mbali nahisi hivyo. Ila kama si kwa sababu hiyo, again, nashukuru.
Sasa wewe uliyeanzisha thread shida yako ni kabila la Chikomo au uraia wake? Naona kuna kitu hapa unataka kukianzisha..kama unatatizwa na uraia wa Chikomo au lolote nenda kwenye mamlaka husika. Hapa jamvini huu ni upupu.
Naanza kupata wasiwasi na baadhi ya wachangiaji juu ya uwezo wao wa kuchangia hoja. Ikiwa kila mwenye kutatizwa na jambo lolote hapa angeamua kuwa anaenda mahakamani, bila shaka hii forum ingekuwa na post 2 tu kila mwezi!
This is not new. Say something we don't know.Naamini hapa ni mahala huru pa kujadili mada mbalimbali, ilimradi tu unayechangiia aidha uwe umevutiwa ama kuguswa na mada husika.
Kusema kuwa "hapa jamvini huu ni upupu" pia unaniacha na kajiswali lengine, je unawasha baadhi ya watu ukiwemo wewe au unamaanisha ni hoja isiyojadilika?
Ni vema kueshimu maoni ya baadhi ya watu. Naamini ikiwa mtu hauko iterested na mada inayojadiliwa, ni vema ama kutoisoma au kuisoma na kisha kuendelea na mada nyingine ambazo ungeweza kuchangia positively.
HAbari ndiyo hiyo!!
Abdul,
LAbda unisaidie kidogo, unaposema kuna jambo nataka kulianzisha, ni lipi hilo? Tafadhali soma vizuri pasipo na haraka my very first post on this subject labda utaelewa.
However, if at all kina hisia unazopata ni vema uziweke wazi.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si kuambiana watu kuwa waende mahakamani.
Otherwise baadhi yetu tutaanza kuhisi kuwa unatumika na mshukiwa kujihami!!
Bazobonankira said:...ni kwa vipi raia wa kigeni kuongoza harakati za taasisi ya mazingira yenye kutetea maslahi yetu?
Bazo ninachoona hapa una muhukumu moja kwa moja Chikomo kuwa sio raia wa Tanzania! umeliza watu wanao mfahamu wamekupa majibu kuwa huyu jamaa ni raia, haijarishi ni raia wa kuzaliwa au wa kuandikisha. Mbona wapo watanzania wengi tu ambao majina yao yahana asili ya Tanzania, hebu niambie majina kama Meley Bhalaboo, Subash Patel, Chavda, Meghji, kassam na mengine mengi, asili yake wapi hapa Tanzania? lakini tunajua wote hao niliowataja ni watanzania.
Mkuu, mimi kwa namna moja naweza kukubaliana na wewe kabisa. Naanza kuliona tatizo kwa Abdul, maana majibu yake yamejaa jazba.
Wadau wa Forum,
Heshima kwenu nyote!! Sina uhakika kuwa kwa kuwasilisha swali langu hapa nitaweza kupata ufafanuzi ama nitakwaza maslahi ya baadhi ya watu fulani fulani. Pamoja na wasisasi nilio nao, dhamira yangu inanituma kuweka swali hili mahala hapa na kutarajia michango yakinifu.