Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 897
- 559
ni wazi kuwa chama hiki kimemezwa na ukawa na hakuna dalili za kujenga chama nje ya ukawa uchaguzi mkuu umekaribia sana kimekalia harakati za ukawa sasa waesabu maumivu maana watachelewa.
Hata hivyo vyama vilivyoungana na CHADEMA na kufanya UKAWA. vimeingizwa Chaka, harakati zote za CHADEMA huwa hazifanikiwi. M4C, OPERESHENI SANGARA, etc Zote zimekuwa historia, sasa hili la UKAWA nalo halichukui Round, hatutalisikia tena. UKAWA ndio mwisho wa CHADEMA.
If wishes were horses_ _ _bila shaka isingekuwa ukawa CHADEMA ingekua end of game. hv ss madhaifu na migogoro iliopo chadema imept coverup ya ukawa.
Chadema imekufa
Inge...
Inge..
Majuto ni mjukuu.
The same hopeless noise as usual.bila shaka isingekuwa ukawa CHADEMA ingekua end of game. hv ss madhaifu na migogoro iliopo chadema imept coverup ya ukawa.