kigugumizi
Member
- Sep 10, 2009
- 11
- 4
Chadema mbona kimeshakufa...
Hata mimi ningehamia CCM ikiwa nitapewa nafasi ya kuonyesha uwezo wangu ktk uongozi kuliko kuganda na chama kisichokuwa na mwelekeo...Upuuzi mtupu!2. Zitto Kuhamia CCM.Mosi, usalama wa Taifa, CCM wanaamini kuwa Zito atahamia CCM kabla ya Uchaguzi. Zito akiwa ahamini utendaji wa mbowe na Dr. Slaa anajua kuwa Chama kinaweza kufa wakati wowote.
Pili, uswahiba wa JK na Zito ulianzia kwenye kamati ya madini. Katika marekebisho ya Wizara, Zito alipewa Uwaziri na JK, kabla ya JK kufanya marekebisho ya ghafla akiwa Dodoma baada ya kupata upinzani ndani ya CCM.
Tatu, Zito ameahidiwa Uwaziri wa Nishati na Madini kwenye awamu ijayo. Conditon ni kuingia CCM. Ili kuwa mzuri katika hiyo field, ameanza masomo yake nchini Ujerumani akichukua masuala ya sheria za mikataba ya madini kwa mwaka mmoja.
Nne, ameanza kuwa kunolewa katika siasa za kimataifa ili kuandaliwa vyema. Kukaa kwake Bungeni ni nadra sana, au kwenye shughuli za Chama chake. Lengo ni kupunguza uwajibikaji wake katika Bunge na Chama.
Tano, Sina hakika kama Zito yupo tayari kuhamia CCM kama Usalama unavyoamini, ila akicheza mpira vizuri atapewa Uwaziri wa Nishati na Madini akiwa bado chadema mwaka 2011 na JK.
Taarifa za ndani za chadema zinasema kuwa Mbowe amehitisha kikao kisicho rasmi Dodoma, wiki hii huku Zito ameondoka mapema kwenda nje ya nchi pasipo taarifa kwa viongozi waandamizi wa Chama hicho. Hali bado haijawa shwari ndani ya Chama hicho, athari za Uchaguzi bado zipo.
Tokea walipomaliza Mkutano Mkuu wao..Lini hiyo Kibs?
Jamani mbina huku naniliu tuko strong sana na kila siku yanafunguliwa matawi?
Au naongea na mamluki?
Mmetumwa?
Nanani?
Mnalipwa nini nyie?
wauwaji wakubwa nyie, mara hii tutakufa sote, kujiliputa tu kwenda mbele...watahadharishe jamaa zako, Mpemba mmoja akiuliwa hakikisheni tutahesabu askari miamoja...^^ Nyie CUF kaburi lenu linaandaliwa vema kule PBA
wauwaji wakubwa nyie, mara hii tutakufa sote, kujiliputa tu kwenda mbele...watahadharishe jamaa zako, Mpemba mmoja akiuliwa hakikisheni tutahesabu askari miamoja...
Kheeee heeeh! Na bado.... Zitto kuingia CCM hili ni gumu sana sana na siamini lakini ..............................
Mengine nafungua macho wazi zaidi nijionee na masikio yamesha tegwa
sasa tusubiri hali itakuwaje.
- Nasubiri nyaraka feki dhidi ya Dr. Slaa ambazo ameandaliwa na Usalama wa Taifa, kisha zitakuwa kwenye JF hivi karibuni.
Kimtazamo tu Zitto ana aim high katika siasa lakini si dhani ni kwa namna hiyo hawa "usalama wa taifa" walivyoimwaga hapa, na kwa Dr. Slaa it will take more than politically rumour mongering atmosphere to finish this strong and committed guy.Habari hii ni nzito . Mimi sitaki kusema sana . Kuna hili la Slaa najua watapiga chini hawataweza na watadhirika , Kanisa katoliki hawawezi kuingia ujinga wa kusema mambo ya Slaa . Zitto kuingia CCM hili ni gumu sana sana na siamini lakini ..............................
Mengine nafungua macho wazi zaidi nijionee na masikio yamesha tegwa
Na bado mtalipana posho mara kumi kumi kwa kazi moja ikibidi watanzania wakae gizani na hata wafe njaa, Kidumu chama cha Mafisadi...Kibs, unapotea nshakuona!Kheeee heeeh! Na bado...