VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
CCM wanasukuma kashfa lukuki kwa CHADEMA.Mara za ukabila,mara za udini,mara za ukanda,mara za vurugu na uvunjifu wa amani nk.CHADEMA wao hawana jipya.Hawana jipya zaidi ya nia madubuti ya kuleta mabadiliko ya kifikra,kiutawala na kimaendeleo kwa watanzania.Hawana jipya zaidi ya kuchukia wizi wa viongozi wa Serikali na washirika wao kwa matendo.Hawana jipya zaidi ya kuwaambia watu ukweli kuwa wachache na watoto wao ndio wanaotamba kuimiliki Tanzania.
Hawana jipya zaidi ya kuiongoza nchi ya Tanzania wakiwa 'benchi' la upinzani.Hawachukii hata kidogo kuigwa na kuibiwa sera na Serikali iliyo madarakani.Wameyashikilia mambo hayohayo tangu mwaka 1992 hadi leo.Hawachoki,hawaachi...

Kindly read between lines...Pole mkuu; naamini kabisa una-suffer from the outcome of the ongoing 'twanga kotekote' reality ya CDM.
Huna jipya except utulie na kuvumilia jinsi magamba yenu yanayopukutika.
Nitakuwa nimedhani sawa kuwa hukusoma Fasihi...Mkama@work
Mbwa tunayemjua jina hatusumbui kichwa.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kindly read between lines...
Mkama@work
CCM wanasukuma kashfa lukuki kwa CHADEMA.Mara za ukabila,mara za udini,mara za ukanda,mara za vurugu na uvunjifu wa amani nk.CHADEMA wao hawana jipya.Hawana jipya zaidi ya nia madubuti ya kuleta mabadiliko ya kifikra,kiutawala na kimaendeleo kwa watanzania.Hawana jipya zaidi ya kuchukia wizi wa viongozi wa Serikali na washirika wao kwa matendo.Hawana jipya zaidi ya kuwaambia watu ukweli kuwa wachache na watoto wao ndio wanaotamba kuimiliki Tanzania.
Hawana jipya zaidi ya kuiongoza nchi ya Tanzania wakiwa 'benchi' la upinzani.Hawachukii hata kidogo kuigwa na kuibiwa sera na Serikali iliyo madarakani.Wameyashikilia mambo hayohayo tangu mwaka 1992 hadi leo.Hawachoki,hawaachi...
CCM wanasukuma kashfa lukuki kwa CHADEMA.Mara za ukabila,mara za udini,mara za ukanda,mara za vurugu na uvunjifu wa amani nk.CHADEMA wao hawana jipya.Hawana jipya zaidi ya nia madubuti ya kuleta mabadiliko ya kifikra,kiutawala na kimaendeleo kwa watanzania.Hawana jipya zaidi ya kuchukia wizi wa viongozi wa Serikali na washirika wao kwa matendo.Hawana jipya zaidi ya kuwaambia watu ukweli kuwa wachache na watoto wao ndio wanaotamba kuimiliki Tanzania.
Hawana jipya zaidi ya kuiongoza nchi ya Tanzania wakiwa 'benchi' la upinzani.Hawachukii hata kidogo kuigwa na kuibiwa sera na Serikali iliyo madarakani.Wameyashikilia mambo hayohayo tangu mwaka 1992 hadi leo.Hawachoki,hawaachi...
mkuu niliingia kwa hasira kubwa lkn nimeishia kupga LIKE kubwa. ila umewakamata wengiCCM wanasukuma kashfa lukuki kwa CHADEMA.Mara za ukabila,mara za udini,mara za ukanda,mara za vurugu na uvunjifu wa amani nk.CHADEMA wao hawana jipya.Hawana jipya zaidi ya nia madubuti ya kuleta mabadiliko ya kifikra,kiutawala na kimaendeleo kwa watanzania.Hawana jipya zaidi ya kuchukia wizi wa viongozi wa Serikali na washirika wao kwa matendo.Hawana jipya zaidi ya kuwaambia watu ukweli kuwa wachache na watoto wao ndio wanaotamba kuimiliki Tanzania.
Hawana jipya zaidi ya kuiongoza nchi ya Tanzania wakiwa 'benchi' la upinzani.Hawachukii hata kidogo kuigwa na kuibiwa sera na Serikali iliyo madarakani.Wameyashikilia mambo hayohayo tangu mwaka 1992 hadi leo.Hawachoki,hawaachi...
They have to stay the cause, stay focused, wangebadilisha foucus kama hayo wanayoyapigia kelele tangu mwaka 92 yangekuwa yamepatiwa ufumbuzi!! labda kama wewe unaona kwamba hayo yameshatatuliwa sijui!? ufisadi, rushwa, mikataba mibovu, police extra judicial killings, wizi wa raslimali za taifa, madini nyara za serikali, misitu, wanyama pori, Bajeti ya serikali isiyozingatia hali halisi ya mwananchi, mfumuko wa bei, nk. nk. kama wewe hayo si ya kuendelea kukemea basi mwenzetu wewe unaishi katika nchi ya kusadikika na wala sio Tanzania and that makes you a poor analyst and thinker. pole sana.