Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Mhhh Mkuu,
Leo nimechungulia magazeti karibia yote ila sijaona hiyo cover. Labda wauzaji wameitupa kwa sababu wanajua kiu ya wasomaji. Kama imetupwa basi CCM wajue kuwa imekula kwao.
Waendelee na EPA zao ila wananchi wanajua chaguo lao!!
Hayo magazeti ambayo hayajapewa huo mshiko ni vijarida vidogo ambavyo mafisadi papa na nyangumi wameona hayana ushawishi kwa wananchi,Tz daima ni la kaskazini na Mwananchi ni la wakenya ambao wenyewe siasa za uvumiliano zimewashinda!
Hilo ulipe pesa au usilipe hakuna tofauti kwenye uandishi.Kwenye orodha sijaona An - Nuur na Al Jihadi
That is true na pia ni njia ya 'hangers-on' wa CCM kufuja pesa.. I really wonder who is doing the media buying and marketing ya CCM... kama kuna mtu mwenye taarifa hizi atuwekee hapa alafu tutaweza kupima na kuchambua mada hii zaidi...".....sasa hivi mjini mabango yote yana picha za kikwete .....sasa sijui kwa nini wanafuja pesa namna hii wakati ni wazi kuwa uwezo wa kushinda bila kutumia pesa nyingi kwa kuuza sera tu....upo......CCM are usin a lot of money ...hadi inatisha sijui ni kwa nini...ningeelewa kama kikwete angekuwa anagombea kwa mara ya kwanza....lakini he is running for the second time ..hayo mamilioni yao bora wangeyaweka wayatumie 2015 kwani ni wazi wakati huo watakuwa wanakabiliwa na upinzani mkali kuliko sasa....na ni wazi ..ccm nayo itakuwa hoi kwenye umoja wake kama chama....."
Mkuu PM
Ukiona matumizi ya pesa kwa ukubwa huu, ujue hali si nzuri huko ndani. Hizi ni symptoms
That is true na pia ni njia ya 'hangers-on' wa CCM kufuja pesa.. I really wonder who is doing the media buying and marketing ya CCM... kama kuna mtu mwenye taarifa hizi atuwekee hapa alafu tutaweza kupima na kuchambua mada hii zaidi...
.
That is true na pia ni njia ya 'hangers-on' wa CCM kufuja pesa.. I really wonder who is doing the media buying and marketing ya CCM... kama kuna mtu mwenye taarifa hizi atuwekee hapa alafu tutaweza kupima na kuchambua mada hii zaidi...
.
This is very important!
Na hao TAKUKURU wanafikiri kazi zao ni nini?
Mkuu hii habari imenipita kidogo.. pesa za ikulu zimechapisha mabango ya uchaguzi? Kama ni hivyo basi ni muhimu kwa vyama vingne kuvipigia kelele na kupeleka pingamizi kwa msajili wa vyama, NEC na Takukuru...hao TAKUKURU nao wapo sided .....ni kama mbwa ambaye huwa han"gati wana familia .....zaidi atangata strangers.........mbona invoice za dhamani ya dola milioni 2 za kuchapisha picha tu ..ambazo hata hapa Tanzania makampuni kama printpak,jaamana printer,mordern print na wengine wangeweza kuchapisha ...lakini IKULU imelipa dola milioni 2 kununua picha za A3 .....nje ya nchi....
kama kweli si wizi ni nini...na tangu lini pesa za IKULU /hazina kisheria zikaruhusiwa kugharamia uchaguzi wa chama.......hivi hao wafadhili wanajuwa kweli.....na wananchi wanaona kodi zao zinavyotumika!!
Hapo kwenye nyekundu ninaomba kutofautiana na wewe. Bajeti ya ccm uchaguzi huu ni bilioni 50,uchaguzi 2015 hata kama wanataka bilioni 70 watapa kwa sababu wana wachangiaji wako tayari kuchangia kwa maslahi yao....wakuu nimesoma magazeti yote ya leo ...infact nimenunua mwenyewe...lakini sijaona hiyo kitu....well inaonekana mpango wa salva rweyemamu na muhingo rweyemamu...ulikuwa ni kujaribu kufunika lead page ya magazeti yote ya leo ambayo definatelly ni CHADEMA.....Lakini kiukweli ni kuwa that is very miscalculated marketing break through........kwani that 8 million was paid to the media houses owners ....walisahau kuwa wauza magazeti wa barabarani hawafaidiki ...hapo na wao kula yao ipo kwenye kuuza magazeti mengi...kwa vyovyote ....psychologically wananchi walikuwa wamejiandaa kuona magazeti yataandika nini kuhusu kufana kwa mkutano wa chadema na kuhusu TBC.......so mabadiliko yoyote ya headings au headings kufunikwa yangesababisha magazeti yasiuze kabisa.......so ni uamuzi ambao kisomi unatabirika kuwa lazima ...wauza magazeti wangeyafunua hayo matangazo ya ccm ili waweze kuuza magazeti haraaka haraka....na labda wauzaji wajanja hasa wa pembezoni baada ya kumaliza kuuza watauza matangazo ya CCM waliyoyatoa kwa shilingi 100 hasa kwa wananchi ambao wangekuwa na shauku ya kusoma kuhusu CCM......
Tatizo la marketing campagne yeyote yenye pesa nyingi.....ni kupunguza reasoning ability .....kwani hakuna budget constraits ya kuchochea fikra zaidi....angalieni hata makampuni ya simu ...huwa yana marketing technics nzuri ...lakini mara nyingine wanakuja na big time time and money waste..ideas ambazo hazina impact kabisa......
.....sasa hivi mjini mabango yote yana picha za kikwete .....sasa sijui kwa nini wanafuja pesa namna hii wakati ni wazi kuwa uwezo wa kushinda bila kutumia pesa nyingi kwa kuuza sera tu....upo......CCM are usin a lot of money ...hadi inatisha sijui ni kwa nini...ningeelewa kama kikwete angekuwa anagombea kwa mara ya kwanza....lakini he is running for the second time ..hayo mamilioni yao bora wangeyaweka wayatumie 2015 kwani ni wazi wakati huo watakuwa wanakabiliwa na upinzani mkali kuliko sasa....na ni wazi ..ccm nayo itakuwa hoi kwenye umoja wake kama chama.....
haya nayo yanatoka kila siku?Kwenye orodha sijaona An - Nuur na Al Jihadi
Jana vyombo vya habari (hasa magazeti) vimepewa 'in CASH' shilingi za kitanzania Million 8 kila moja kuweza kuyavalisha magazeti yao covers kama inavyoonekana kwenye magazeti niliyoambatanisha juu hapo kwa matoleo ya Jumapili (leo).
Ni magazeti mawili tu, Mwananchi na Tanzania Daima ambayo hayakuweza kuupata mgawo huu toka CCM (ni cash na si cheque) nadhani tokana na kuona aidha yana mrengo tofauti (Tanzania Daima), au yako kinyume na matakwa yao (Mwananchi).
BAHATI MBAYA wauzaji wa magazeti walio wengi jijini Dar es Salaam hawajapendezwa na hili wengi wameondoa hii cover kwa magazeti mengi.
Magazeti yanayotoka kila siku yote yamepewa mgawo huu isipokuwa mawili niliyoyataja.
Ni wapi tunaelekea?
kwa hisani ya 'Globu Ya Jamii' ikiwaletea taswira za kampeni za CCM 2010 mjini Sumbawanga
Anajiandaa kurithi dynasty!Naona kwa nyuma Ridhiwani anawakilisha!
Mkuu, binafsi siwalaumu CCM... Hata chembe, wamepata opportunity na wameitumia. Sasa, wenye matatizo (njaa?) nadhani ni wenye magazeti kuruhusu gazeti kuwa covered na tangazo kwa tamaa ya fedha.
That's my concern