Hivi hapoa wa kulaumiwa ni CCM au magazeti ambayo yamekubali kutumika kama mabango ya matangazo?
Mkuu,Mhhh Mkuu,
Leo nimechungulia magazeti karibia yote ila sijaona hiyo cover. Labda wauzaji wameitupa kwa sababu wanajua kiu ya wasomaji. Kama imetupwa basi CCM wajue kuwa imekula kwao.
Waendelee na EPA zao ila wananchi wanajua chaguo lao!!
Mkuu, binafsi siwalaumu CCM... Hata chembe, wamepata opportunity na wameitumia. Sasa, wenye matatizo (njaa?) nadhani ni wenye magazeti kuruhusu gazeti kuwa covered na tangazo kwa tamaa ya fedha.Hivi hapoa wa kulaumiwa ni CCM au magazeti ambayo yamekubali kutumika kama mabango ya matangazo?
Mkuu,
Wauzaji magazeti wengi wamezitoa hizo covers, nadhani hili pia CCM wakiligundua wataona kuwa wametumia hela bure kwani wauzaji wamewaangusha.
Gazeti zima liko covered na hilo tangazo... Ukinunua gazeti linakuwa ndani. Sasa, ndo hapo ninaposema kuwa wauzaji walio wengi ndo wameangusha mpango huu, baadhi wanauza kama ilivyotakiwa lakini wengi wameondoa na kuweka kando! HabariLeo, Mtanzania, Majira, Nipashe, Jambo Leo, etcNijuzeni Wakuu,huo upuuzi ni just a cover au ndio habari kuu za page ya kwanza? Mniwie radhi huku kwetu hayajafika, ni mpaka kesho!
How pathetic! inatia kichefuchefu!
Hayo magazeti ambayo hayajapewa huo mshiko ni vijarida vidogo ambavyo mafisadi papa na nyangumi wameona hayana ushawishi kwa wananchi,Tz daima ni la kaskazini na Mwananchi ni la wakenya ambao wenyewe siasa za uvumiliano zimewashinda!
He hee! Ha ha haaa! Hapa Sinza nilienda kununua gazeti. Muuzaji akaniambia ile cover naweza kuchukua bure nikitaka. Nilikuwa nanunua gazeti lisilo na mgawo/tangazo huo wa kifisadi.
Ila muuzaji hakupendezwa na cover ile ya kijani. Ameziweka pembeni.
He hee! Ha ha haaa! Hapa Sinza nilienda kununua gazeti. Muuzaji akaniambia ile cover naweza kuchukua bure nikitaka. Nilikuwa nanunua gazeti lisilo na mgawo/tangazo huo wa kifisadi.
Ila muuzaji hakupendezwa na cover ile ya kijani. Ameziweka pembeni.