kweli ccm hoi inavilaza gani hatakutengeneza msg nzuri wanashindwa, ccm kweli namkumbuka mangula katibu wetu!wameona thiatha dha majitaka dhinawapanditha wapindhani thatha wameamua kujipamba wenyewe? Hatudanganyiki!
CCM ni CHAMA cha KIMATAIFA ==SMS
CCM imekazana baada ya kuona maji yamekuwa ya shingo badala ya miguuni!! Usiku wa leo nimetumiwa meseji mbili., moja ilifika saa tisa dakika 26 ikieleza kama ifuatavyo "CCM iliahidi, na imefanya.. tuichague tena. CHAGUA CCM, CHAGUA KIKWETE.
SAA 11.25 ALFAJILI CCM walinitumia sma nyingine inayosema hivi "CCM ni chama cha kimataifa, kimekomboa nchi nyingi barani Afrika" Chagua CCM, Chagua Kikwete.
Baada ya kusoma SMS hii nilicheka sana nikamkumbuka mtu mmoja aliyekuwa anaongea katika zile picha za Tarime (uchaguzi mdogo) akisema "tumeandaliwa wajinga wengi, ili kundi dogo ndilo liendelee kutawala".
SMS hii ya CCM kuwa chama cha kimataifa, imeonesha kuwa CCM hawajui kuwa kuna watz ambao wanaelewa. Tangu lini CCM ikakomboa nchi za bara la Africa? Tangu lini CCM ikawa chama cha kimataifa?
Mwaka huu wa 2010, hatudanganyiki. Endeleeni kutuma sms lakini hamuambulii kitu hapa.
Bye CCM, Bye KIKWETE
CCM ni CHAMA cha KIMATAIFA ==SMS
CCM imekazana baada ya kuona maji yamekuwa ya shingo badala ya miguuni!! Usiku wa leo nimetumiwa meseji mbili., moja ilifika saa tisa dakika 26 ikieleza kama ifuatavyo CCM iliahidi, na imefanya.. tuichague tena. CHAGUA CCM, CHAGUA KIKWETE.
SAA 11.25 ALFAJILI CCM walinitumia sma nyingine inayosema hivi CCM ni chama cha kimataifa, kimekomboa nchi nyingi barani Afrika Chagua CCM, Chagua Kikwete.
Baada ya kusoma SMS hii nilicheka sana nikamkumbuka mtu mmoja aliyekuwa anaongea katika zile picha za Tarime (uchaguzi mdogo) akisema tumeandaliwa wajinga wengi, ili kundi dogo ndilo liendelee kutawala.
SMS hii ya CCM kuwa chama cha kimataifa, imeonesha kuwa CCM hawajui kuwa kuna watz ambao wanaelewa. Tangu lini CCM ikakomboa nchi za bara la Africa? Tangu lini CCM ikawa chama cha kimataifa?
Mwaka huu wa 2010, hatudanganyiki. Endeleeni kutuma sms lakini hamuambulii kitu hapa.
Bye CCM, Bye KIKWETE
kweli ccm hoi inavilaza gani hatakutengeneza msg nzuri wanashindwa, ccm kweli namkumbuka mangula katibu wetu!
Duuh inaonekana wakati mwingine hatuelewi. boss mimi pia nilizipata hizo sms, kweli inaonesha ndugu zetu wanahaha, lakini pia ngoja nikueleweshe kidogo.
Hivi Rais wetu wa sasa niwa chama gani? na je Nyerere aliyehusika kwenye kuikomboa nchi yetu na kushiriki kikamilifu kwenye harakati za ukombozi wa nchi zingine za africa alikuwa wa chama gani? kama majibu yako ni CCM. then it is obvious CCM ni chama cha kimataifa na kimeshiriki kuleta ukombozi Africa.
kuwa negative all the time bila ku-analyse issue vizuri wakati mwingine inaonyesha upungufu wa kufikiria.
tutumie JF kusaidiana sio ku ongea bila kuchambua issue vizuri
Uwezo wako wa kuelewa unaonyesha ni duni sana. Vita ukombozi kusini mwa Africa na kwingineko ilipata msaada kutoka kwa watanzania wote na sio CCM kama unavyotaka kujiaminisha wewe na wengine. Watu walichangia rasilimali zao na hata uhai wao bila kuwa wana CCM. Maana mtasema tena kuwa CCM ilimpiga Idd Amin. Fikirini kabla ya kutamka, watanzania wa leo wameamka.Duuh inaonekana wakati mwingine hatuelewi. boss mimi pia nilizipata hizo sms, kweli inaonesha ndugu zetu wanahaha, lakini pia ngoja nikueleweshe kidogo.
Hivi Rais wetu wa sasa niwa chama gani? na je Nyerere aliyehusika kwenye kuikomboa nchi yetu na kushiriki kikamilifu kwenye harakati za ukombozi wa nchi zingine za africa alikuwa wa chama gani? kama majibu yako ni CCM. then it is obvious CCM ni chama cha kimataifa na kimeshiriki kuleta ukombozi Africa.
kuwa negative all the time bila ku-analyse issue vizuri wakati mwingine inaonyesha upungufu wa kufikiria.
tutumie JF kusaidiana sio ku ongea bila kuchambua issue vizuri
CCM ni CHAMA cha KIMATAIFA ==SMS
CCM imekazana baada ya kuona maji yamekuwa ya shingo badala ya miguuni!! Usiku wa leo nimetumiwa meseji mbili., moja ilifika saa tisa dakika 26 ikieleza kama ifuatavyo "CCM iliahidi, na imefanya.. tuichague tena. CHAGUA CCM, CHAGUA KIKWETE.
SAA 11.25 ALFAJILI CCM walinitumia sma nyingine inayosema hivi "CCM ni chama cha kimataifa, kimekomboa nchi nyingi barani Afrika" Chagua CCM, Chagua Kikwete.
Baada ya kusoma SMS hii nilicheka sana nikamkumbuka mtu mmoja aliyekuwa anaongea katika zile picha za Tarime (uchaguzi mdogo) akisema "tumeandaliwa wajinga wengi, ili kundi dogo ndilo liendelee kutawala".
SMS hii ya CCM kuwa chama cha kimataifa, imeonesha kuwa CCM hawajui kuwa kuna watz ambao wanaelewa. Tangu lini CCM ikakomboa nchi za bara la Africa? Tangu lini CCM ikawa chama cha kimataifa?
Mwaka huu wa 2010, hatudanganyiki. Endeleeni kutuma sms lakini hamuambulii kitu hapa.
Bye CCM, Bye KIKWETE
Umepata kutoka namba gani?Ileile inaomkashifu Slaa?Kama ndiyo hiyo basi washathibitisha kuwa ni ccm ndo waliotuma zile sms.