Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
kuna dalili za kula ''PILAU'' na kwenda S/WANGA any time from now!.................Hebu niambieni akina mama/dada wenzangu.Pengine nina rafiki nataka kupeleka mahusiano katika hatua nyingine labda ndoa tuseme.Na huyu mlengwa pengine ana tabia fulani au tuseme mazingira fulani ambayo nisingependa awe nayo katika hiyo level nyingine.
Kwa mfano ni mwizi/jambazi,mlevi,Fukara(hana hela wala kazi-naweza kusema ni mvivu) na mambo kama hayo.
Na pengine nishamwambia kuwa sipendi 1,2,3......ya hizo tabia na akaahidi kuwa atabadilika.
Vilevile katika interraction mbali x2 na marafiki hasa wanaume mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.
Sasa swali langu ni kuwa Is this true?
Wakina kaka pia mnaweza kuniambia eti mnaweza kubadilishwa na wanawake mkawa waume wema wenye kuonyesha mfano mwema?
Chrispin naomba usiingie kwenye hii thread inakuhusu
Hebu niambieni akina mama/dada wenzangu.Pengine nina rafiki nataka kupeleka mahusiano katika hatua nyingine labda ndoa tuseme.Na huyu mlengwa pengine ana tabia fulani au tuseme mazingira fulani ambayo nisingependa awe nayo katika hiyo level nyingine.

kuna dalili za kula ''PILAU'' na kwenda S/WANGA any time from now!.................
HEHEHE!Mpwa ndo nasikilizia hapa mwanawani dalili za mvua mawingu aisee
Kwa mfano ni mwizi/jambazi,mlevi,Fukara(hana hela wala kazi-naweza kusema ni mvivu) na mambo kama hayo.
Na pengine nishamwambia kuwa sipendi 1,2,3......ya hizo tabia na akaahidi kuwa atabadilika.
Vilevile katika interraction mbali x2 na marafiki hasa wanaume mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.
Sasa swali langu ni kuwa Is this true?
Hebu niambieni akina mama/dada wenzangu.Pengine nina rafiki nataka kupeleka mahusiano katika hatua nyingine labda ndoa tuseme.Na huyu mlengwa pengine ana tabia fulani au tuseme mazingira fulani ambayo nisingependa awe nayo katika hiyo level nyingine.
Kwa mfano ni mwizi/jambazi,mlevi,Fukara(hana hela wala kazi-naweza kusema ni mvivu) na mambo kama hayo.
Na pengine nishamwambia kuwa sipendi 1,2,3......ya hizo tabia na akaahidi kuwa atabadilika.
Vilevile katika interraction mbali x2 na marafiki hasa wanaume mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.
Sasa swali langu ni kuwa Is this true?
Wakina kaka pia mnaweza kuniambia eti mnaweza kubadilishwa na wanawake mkawa waume wema wenye kuonyesha mfano mwema?
Chrispin naomba usiingie kwenye hii thread inakuhusu
festiledi you have nailed it!CAN YOU PLEASE SPEAK IT LOUDLY AGAIN AND AGAIN AND AGAIN AND AGAIN!?!Kama ameonyesha dalili za kubadilika katika 1,2,3,4 ya yale uliyomuomba mkiwa ndani ya haya mahusiano ya sasa inawezekana lakini kama 1,2,3,4 unazomuomba mpaka sasa hakuna hata moja aliyobadili itakuwa ni ngumu ..itabidi kila siku kazi yako iwe kumkumbusha ..
maji ya serengeti serengeti ndio litakuwa tatizo kuu kwako
Kama ameonyesha dalili za kubadilika katika 1,2,3,4 ya yale uliyomuomba mkiwa ndani ya haya mahusiano ya sasa inawezekana lakini kama 1,2,3,4 unazomuomba mpaka sasa hakuna hata moja aliyobadili itakuwa ni ngumu ..itabidi kila siku kazi yako iwe kumkumbusha ..
maji ya serengeti serengeti ndio litakuwa tatizo kuu kwako
hahahahaha!say it again please!Mh...
Umesahau kudumisha mila!!
hahahahaha!say it again please!
LAKINI NA WEWE UMESAHAU KUWA HAPA HATUPO KANISANI KWA MAUNGAMO
haya baba askofu!ndio maana niliificha, we unazifunua za nini!! (uchonganishi)
dah!haya banaThe Following User Says Thank You to Teamo For This Useful Post: Askofu (Today)
mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.