Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,281
- 44,793
Rais Kikwete atavunja Bunge leo kuashiria kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Jambo moja ambalo nimeamini lina make sense kuanzia sasa ni kuwa hakutakuwa na uhalali wowote wakufanya tena vikao vya bajeti kwa miezi mitatu kama tunaweza kuvifanya kwa wiki tano na tena tukanikisha vizuri. Kwa hili Bunge imeonesha njia ya kufu
Tunasubiri kusikia/kuonahotuba ya Kikwete ya kuvunja Bunge itakavyokuwa na majigambo ya mafanikio ya serikali yake. Lakini zaidi ni nahamu ya kusikia maono yake ya Bunge jipya yatakuwaje. Kuna baadhi ya wabunge ambao kwa kweli sitosikitika kama hawatorudi Bungeni na wengine wasiporudi itakuwa ni masikitiko.
Vyovyote vile ilivyo, leo yawezekana ni mwanzo wa mabadiliko tunayoyataka; au yaweza kuwa ni marudio ya tulikotoka.
Tusubiri Vitu!
......... Kuna baadhi ya wabunge ambao kwa kweli sitosikitika kama hawatorudi Bungeni na wengine wasiporudi itakuwa ni masikitiko.............
Tusubiri Vitu!
.Hilo kwake sio kubwa sana kuongea bila pingamizi lolote ni bingwa sana.
Hivi jamani hivi kukodi saa moja na nusu muda wa luninga inaweza kuwa kama ni Tshilling Ngapi vile? Hivi kwa nini jamani sisi watu wa jamii forums tusiandaye mdahalo mwaka huu na at least kufanya kitu fulani zaidi ya kubwabwaja tu. Kwa mfano ikiwa ni TZS 30m Itahitaji watu kama 200 hivi kuchanga kama dola $100. Kama mgombea wa CCM hataonekana basi na iwe hivyo lakini sisi tuwe tumefanya kazi yetu.
Nyuki, Bunge linavunjwa rasmi leo, ila uhai wa Bunge hili, unaisha 31, July, 2010. Hii inamaanisha wabunge wanaweza kuendelea na shughuli za kibunge mpaka muda huo. Kuanzia 1/08/2010 wanakuwa sio wabunge tena. Makatibu Wakuu ndio waendeshaji wa mawizara huku Mawaziri wanaendelea kinyemela kwa magari yao kuondolewa vibao vya uwaziri na kupigwa STH, ila hawaruhusiwi kuyatumia kwenye shughuli za kisiasa.Bunge linavujwa rasmi tarehe 1.8.2010 leo anahutubia bunge kwa mara ya tatu toka ashika madaraka ya juu nchini mwetu
.
Maximum concetration ya live politic on TV ni one hour.
One Hour live on ITV, TZS-8,000,000
One Hour live on Star TV, TZS-6,000,000
One Hour live on TBC, TZS-4,000,000
Kikao cha kuvunja bunge kitaanza leo mnamo saa kumi jioniAsante Mwanakijiji kwa hii info. Kwa ratiba ilikuwa inaonyesha ya kwamba bunge lilikuwa limalize vikao vyake 07/30/2010. JK anavunja hilo Bunge saa ngapi leo?
Shalom.. hilo pendekezo si itabidi lipigiwe kura na wana JF wote, na wengi wataanza kupinga kwanini JF inafanya hivyo kwa sababu itatishia usalama wao? Maana kwenda tu Bungeni imekuwa vurugu ingekuwa ni kupanga midahalo ya wagombea si ndo ingekuwa songombingo
Mwanakijiji huu uwoga wetu ndiyo unaotufanya tunakuwa nyuma hata ya Kenya, Rwanda na Uganda. Je tuwaaachie waoga watutawale! au baazi yetu tuwe kama Kalebu na kuanza kuona mwisho kutoka mwanzo?
MM thanks, you have gone an extra mile. Wataje basi kwa majina, ngoja nikusaidie wachache....
1.Fuya Kimbita will be replaced by Mr. Mbowe
2.Charles Keenja will be replaced by John Mnyika
3.Mchungaji Mwanjali will be replaced by Advocate Sambee Shitambala
4.Monica Mbega replaced by Mchungaji Peter Msigwa
5.
6.
7.
Mkuu mbona umeonw wachadema tu? Au wewe ndo wale wale?MM thanks, you have gone an extra mile. Wataje basi kwa majina, ngoja nikusaidie wachache....
1.Fuya Kimbita will be replaced by Mr. Mbowe
2.Charles Keenja will be replaced by John Mnyika
3.Mchungaji Mwanjali will be replaced by Advocate Sambee Shitambala
4.Monica Mbega replaced by Mchungaji Peter Msigwa
5.
6.
7.