Maisha ya ndoa jamani yana raha, japo bado sipo huko.Cha muhimu ni kupata yule ambaye Mungu amekuandalia. Utafurahia ndoa yako kama paradiso/mbingu.
Ingawa napenda committed relationships na nina ndoa for more than 10 years, nadhani ndoa is too much a burden. I love my kids and my wife and my family as whole.
Lakini looking back and given choice today, I will choose to be single ... yes single. Unfortunately nimeshaoa na nina watoto. Nalazimika kumridhisha mke wangu na ..... may be I'm a negotiator ... pleaser and I feel I'm giving to much for too little!
Perfection katika relation ni aim, but it is elusive.
Shingo kaka, mimi naamini kila ndoa ina life span, wenzetu wa ngozi nyeupe wakifika kwenye 'expiry date' yao wanaambizana na kila mtu anaangalia utaratibu mwingine, sisi wabantu tukifikia 'best before dates' zetu tunaendelea kuishi tu hivyo hivyo kwa kuwa ni taboo kuachana kwa sababu tu ya penzi kuchuja , na eti watoto watateseka! lakini wote tunajua hiki kitu kipo, hatutaki tu kukubali. Matokeo yake ni kuanza kucheat, kulala kwenye mabaa na visa visivyoisha.Ingawa napenda committed relationships na nina ndoa for more than 10 years, nadhani ndoa is too much a burden. I love my kids and my wife and my family as whole.
Baada ya kusoma posts zote bado sijashawishika kwa nini nioe, alafu kwa mlioko kwenye ndoa kuna walioingia na mentality ya kuwa kuna "expiry date"? na by the way wengi wenu mmefunga ndoa mkiwa na umri gani?
Icadon, 'expiry date ya ndoa' inatengenezwa na wanandoa wenyewe, kama ukiingia mkenge ukajitusu sehemu ambayo degree ya incopartibility ni kubwa mno basi ujue life span ya ndoa yako itakuwa fupi. All in all nafikiri ni muhimu kula maisha kwanza kabla hujaoa, usipofanya mambo flani kabla ya ndoa unaweza jikuta unayafanya ukiwa ndani ya ndoa.
Sasa Kana Na Nsungu.. wewe umeanzisha mada nzuri kabisa ya kuongoa vijana waache kupiga mikasi na kupoteza pesa zao kama wewe ulivo fanya, sasa mbona unaharibu tena kuwaambia watafune kwanza maisha kabla ya kuoa? unataka wafanye kama ulivyo fanya na ukaja jutia baada ya kuoa?