Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
...Je umeoa/olewa? Unaona mabadiliko gani sasa compared to your days of being single? Hujaoana/olewa na umri umesonga? Kwanini?
...aisee tangu nimeoa muda mrefu sana nimekuwa nakaa long distance na mywife wangu, recently ameni join huku nilipo. Miezi miwili mitatu ya mwanzoni ilikuwa 'fungate' kama kawaida, lakini miezi michache iliyopita nimeanza kupatwa na msongo wa mawazo kutamania ule u single life niliokuwa nao mwanzoni... si balaa hili?
Ebo! Mbu vipi tena!? My wife wako si ulimleta mwenyewe? Sasa kipi baada ya miezi mitatu kinachokufanya uanze kuwa doubtful about your decision? Je, unakosa uhuru wako uliokuwa nao wa kwenda nyumba ndogo kabla hajaja!? 🙂
Naona umeweka msisitizo wa hali ya juu 'mywife wangu', ni wako tu mkuu peke yako usijali!..
Sidhani kama unatamani kivile usingle kama zamani sema ulikuwa na hamu(ugwadu) nae sana na alivyokuja 24/7 mkawa ni fungate na mawazo kama hayo lakini sasahivi umezoea ukaribu wake unaona kawaida. You can renew the fungate thing na kufurahia kwa hali ya juu.
nlivyokuwa single nilikuwa na uhuru wa kujiamulia mambo yangu, niende wapi nifanye nini na nini na bila kumshirikisha mtu, kwasasa ni ile mpaka useme/uombe ruhusu ya kwenda mahali na uweza kukubaliwa au kukataliwa!
Kana-Ka-Nsungu hongera sana. Mshukuru Mungu kwa hatua uliyofikia na endelea kumuomba aendelee kudumisha hiyo amani na furaha uliyo nayo katika ndoa yako. Nyumba nyingine zinaanza vizuri lakini baadaye zinapoteza mwelekeo na kuishia pabaya.Jana nilipata flashback ya enzi zangu wakati nilipokuwa single nikagundua kuwa nilikuwa nahangaika tu, najitesa. Kila demu nilikua namuona mzuri na nataka kumvua nguo tu, naweza piga tungi afu usiku wa manane naanza kupiga masimu kwa vicheche wote kwenye phonebook yangu,naishia kuchoma kiwese kwenda mbaaaali kufuata demu tu, nilikua nikiwa kwenye mawindo sioni uvivu kutumia, nasahau kabisa jinsi nilivyozisotea hela zangu kwenye boksi, hela ilikuwa haikai- ilikuwa ni misosi, mitungi, mikasi na pamba tu! Nikitoka job napitia mahali kula then naendeleza tungi,kujirusha na kuwinda- by then nilikua naona poa tu, I was enjoying life lakini looking back now- I think it was sad, really sad.
Je umeoa/olewa? Unaona mbaliko gani sasa compared to your days of being single? Hujaoana/olewa na umri umesonga? Kwanini?
...aisee tangu nimeoa muda mrefu sana nimekuwa nakaa long distance na mywife wangu, recently ameni join huku nilipo. Miezi miwili mitatu ya mwanzoni ilikuwa 'fungate' kama kawaida, lakini miezi michache iliyopita nimeanza kupatwa na msongo wa mawazo kutamania ule u single life niliokuwa nao mwanzoni... si balaa hili?
Kana-Ka-Nsungu hongera sana. Mshukuru Mungu kwa hatua uliyofikia na endelea kumuomba aendelee kudumisha hiyo amani na furaha uliyo nayo katika ndoa yako. Nyumba nyingine zinaanza vizuri lakini baadaye zinapoteza mwelekeo na kuishia pabaya.
Asante kwa kuwatia moyo wale ambao hawajaingia katika jumuiya ya waliooa/olewa ili wahamasike kuingia.
Mimi binafsi, ningeyajua haya ninayoyajua sasa, nisingeingia. Bado nipo ndani ya ndoa na naiheshimu siku zote lakini...... I was happier when single (ingawa sikuwahi kurukaruka). Namshukuru Mungu nina watoto, wananifariji na in a way kupunguza makali ya majuto.
Mungu awabariki wote walio ndani ya ndoa na hata wale wanao-plan kuingia. Nyumba zenu ziwe na amani, baraka, upendo na yote yaliyo mema.
Amen.
KKN hongera aisee wengi wetu hapa tunataka kutoka ( sijaolewa bado...soon InshaAllah), hoping that i will love it and never wnat to be single again.....tiririiririririiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mbu..............mmmmnh sijui nisemeje ....umenisikitisha sana....yaani role model wangu amenilet down kabisa...............lol
Kwa kweli, I must admit kwamba mwanzoni nilistruggle kucope kama ndugu yangu Mbu, suala kubwa linalokera ni kule kupoteza uhuru, ulikuwa umezoea kufanya unachotaka bila hata kuomba ruhusa au kujadiliana na mtu and all of a sudden huwezi kutumia neno 'mimi' na ni mwendo wa 'sisi'. Kila simu au text inayoingia unatakiwa uitolee maelezo, lakini kama umeamua kuoa ujue hiyo ni part and parcel yake na ni lazima uwe na commitment kwenye ndoa, ...
nlivyokuwa single nilikuwa na uhuru wa kujiamulia mambo yangu, niende wapi nifanye nini na nini na bila kumshirikisha mtu, kwasasa ni ile mpaka useme/uombe ruhusu ya kwenda mahali na uweza kukubaliwa au kukataliwa!
why did u get married then???
Kwa kweli, I must admit kwamba mwanzoni nilistruggle kucope kama ndugu yangu Mbu, suala kubwa linalokera ni kule kupoteza uhuru, ulikuwa umezoea kufanya unachotaka bila hata kuomba ruhusa au kujadiliana na mtu and all of a sudden huwezi kutumia neno 'mimi' na ni mwendo wa 'sisi'. Kila simu au text inayoingia unatakiwa uitolee maelezo, lakini kama umeamua kuoa ujue hiyo ni part and parcel yake na ni lazima uwe na commitment kwenye ndoa, wengi tunaoa just bse we have to lakini hatuko tayari ku settle down na kujicommit kwa mpenzi mmoja, ujue ukiingia kwenye ndoa your whole life style and routine will change and this is the most difficult and scary part of it. Lakini niwaambie ndugu zangu, ku settle ni natural process, it gets to a point unajiuliza 'Hivi nahangaika nini?', 'kuna kitu gani ambacho sijafanya?' and deep down in your heart you feel guilty, your behaviour and actions make you unhappy, kila siku ni ku argue na kununiana tu, and you know you are the cause of it all!
Wale ambao mko nje ya ndoa ni muhimu sana uchague mke/mume ambaye uko compartible naye, compartibility is the key factor kwenye ndoa. Ni muhimu muwe mnashare common interests na to get this right unatakiwa usikurupuke kuoa, take your time umsome mtarajiwa wako, kama hamuendani usione haya kumtosa coz hata ukimuoa itakuwa ni pressure tu na mnaweza ishia kwenye divorce. Mimi binafsi nilitengeneza short list ya candidates wawili ambao nilikuwa najivinjari nao kipindi hicho na wote niliwaweka under probation , hii ilinclude kuishi na kila mmoja wao kwa muda mfupi, at the end I think I got the right choice, just dont rush it, take your time.
KKN hongera aisee wengi wetu hapa tunataka kutoka ( sijaolewa bado...soon InshaAllah), hoping that i will love it and never wnat to be single again.....tiririiririririiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mbu..............mmmmnh sijui nisemeje ....umenisikitisha sana....yaani role model wangu amenilet down kabisa...............lol