Nadhani huyu p funk akili zake si sawa sawa, kwani hutoa comments za ajabu sana
nikusahihishe bangi sio kilevi ni kiburudisho.......p funk zamani ilisemekana unatumia kilevi aina ya bangi sikuamini lakini kwa sasa naanza kuamini kwamba unatumia kilevi hicho..... kwanini unafanya hivyo lakini? sijakupenda hata kidogo mkubwa jirekebishe plz!!
jamani,mimi sioni what the fuss is all about wakati mavumbini kashawaeleza hii ni reality show ambayo inaitaji viewers na in the process inagenerate income through advertisements. Bila controversial remarks hizi shows could never live up to their billing.Jamani.. hivi mapaka sasa hamjajua hii ni Reality show.. its meant for entrtainment.. producer wa show yeye ndo nataka vitu kama hivyo na anavi encourage kwasababu vina ongeza viewers.. ikiongeza viewers wao wana benefit though matangazo na njia nyengine.. ila the whole concept is to get u fired up vitu kama hivyo na hype..
Au hamkusika kua jaji alimjibu rudi mtoto mdogo kwenye show moja kama aina hiyo hiyo huko india. mtoto akajaribu kujiua.. akashindwa kwasababu ya remarks za jaji.. na jaji hakushtakiwa wala nini??
au aukusikia the famous show American idol ambapo Paula alimmaindi porducer kwa mui entertain a fan ambaye alikuwa stalker.. akaishia kujiua nje ya nyumba ya Abdula???
Ts for entertainment
jamani,mimi sioni what the fuss is all about wakati mavumbini kashawaeleza hii ni reality show ambayo inaitaji viewers na in the process inagenerate income through advertisements. Bila controversial remarks hizi shows could never live up to their billing.
nikusahihishe bangi sio kilevi ni kiburudisho.......
....bangi inafanya uwe na akili ya ziada na mawazo mbadala sio kama ya p funky....tafadhalini sana msihukumu bangi