bilchaser06 New Member Joined Sep 28, 2026 Posts 4 Reaction score 6 Sep 29, 2026 #1 Habari,wakubwa Nataka kufanya biashara ya nguo za mtumba, naomba ushauri kuhusu biashara hiyo lakini pia vitu gani vya kuzingatia wakati wa kuchagua balo lenye nguo zenye ubora. Asanteniš
Habari,wakubwa Nataka kufanya biashara ya nguo za mtumba, naomba ushauri kuhusu biashara hiyo lakini pia vitu gani vya kuzingatia wakati wa kuchagua balo lenye nguo zenye ubora. Asanteniš
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,097 Reaction score 45,339 Sep 29, 2026 #2 Hiyo biashara unaifanyia wapi mjini au vijijin na mtaji wako ni kias gan?
bilchaser06 New Member Joined Sep 28, 2026 Posts 4 Reaction score 6 Sep 30, 2026 Thread starter #3 Ni kijijini mkuu ila pamechangamka sana na mtaji 600k
bilchaser06 New Member Joined Sep 28, 2026 Posts 4 Reaction score 6 Sep 30, 2026 Thread starter #4 Beira Boy said: Hiyo biashara unaifanyia wapi mjini au vijijin na mtaji wako ni kias gan? Click to expand... Ni kijijini mkuu ila pamechangamka sana na mtaji ni 600k
Beira Boy said: Hiyo biashara unaifanyia wapi mjini au vijijin na mtaji wako ni kias gan? Click to expand... Ni kijijini mkuu ila pamechangamka sana na mtaji ni 600k
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,097 Reaction score 45,339 Sep 30, 2026 #5 bilchaser06 said: Ni kijijini mkuu ila pamechangamka sana na mtaji ni 600k Click to expand... Vizuri sana Anza na baloo za wanawake hasa hasa brauz
bilchaser06 said: Ni kijijini mkuu ila pamechangamka sana na mtaji ni 600k Click to expand... Vizuri sana Anza na baloo za wanawake hasa hasa brauz