Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 79
Leo nilikuwa naangalia kaseti ya picha (video) ya kwaya ya Shangalieni ya Arusha nikamuona huyu dada akianzisha wimbo huku akiimba kwa hisia (ukipenda katika roho na kweli). Ukiamuangalia alivyokuwa amevaa, nywele zake na muonekano wake hutasita kusema hakika huyu ni mtumishi wa bwana.
Hapo hapo nikachukua VCD yake (nafikiri kapigia picha Uganda) akiwa mwimbaji binafsi nikaangalia alivyovaa, alivyoweka urembo sura yake, nywele zake, anavyoimba, bila ubishi nikasema huyu dada lazima kuna mabadiliko katika maisha yake ya kiroho- yaani amerudi nyuma huihitaji kuwa na karama ya maarifa kubaini hilo.
Dada Beatice nakuomba rudia enzi yako ambapo ulikuwa ukiimba tunabarikiwa sana- nini kimempata huyu dada?

I believe in INTERIORITY. It is good to appear awesome but also it is good to behave in a moral manner!
Asante mkubwa, nakubali!mkuu umesahau kitu kimoja............ kimtokacho mtu mwilini (kinywani) mwake ndicho kiujazacho moyo wake!!!................. akiamini katika vitu vya nje ili kuuza CD zake, basi hayo ndiyo yaliyoujaza moyo wake!.............. je, atapata thawabu gani??...................... hapo sasa.....................
sijamuona alivyobadilika...so i cant coment on that...ila sio siri katika wadada wanaoimba injili...nampenda sana huyu dada,wimbo wake kijito cha utakaso,si njia rahisi etc...huwaga nasikilizaga mpk nalewa!anaimba sana jamani...
Leo nilikuwa naangalia kaseti ya picha (video) ya kwaya ya Shangalieni ya Arusha nikamuona huyu dada akianzisha wimbo huku akiimba kwa hisia (ukipenda katika roho na kweli). Ukiamuangalia alivyokuwa amevaa, nywele zake na muonekano wake hutasita kusema hakika huyu ni mtumishi wa bwana.
Hapo hapo nikachukua VCD yake (nafikiri kapigia picha Uganda) akiwa mwimbaji binafsi nikaangalia alivyovaa, alivyoweka urembo sura yake, nywele zake, anavyoimba, bila ubishi nikasema huyu dada lazima kuna mabadiliko katika maisha yake ya kiroho- yaani amerudi nyuma huihitaji kuwa na karama ya maarifa kubaini hilo.
Dada Beatice nakuomba rudia enzi yako ambapo ulikuwa ukiimba tunabarikiwa sana- nini kimempata huyu dada?
wala ule sio wimbo wake.................. kadesa tu ............. yaani ni mjasiriamali wa kidunia per se..................inaonekana huzijui nyimo za injili..................
kuna mahali maandiko yanasema ukimsifu Mungu uwe kama wazimu? Musa aliambiwa 'enenda kwa watu wako, ukawatakase leo na kesho,wakazifue nguo zao, wawe tayari kwa siku ya tatu, maana siku ya tatu BWANA atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote' ref: kut 19:10, hii inaelezea kuwa Mungu anapenda watu wasafi na walio smart...nadhani umenielewa
hizo chache nanzozijua na kuzipenda zinanitosha!!...huyo aliyeimba hizo nyimbo mbili ni nani kama sio beatrice muhone???
kuna mahali maandiko yanasema ukimsifu Mungu uwe kama wazimu? Musa aliambiwa 'enenda kwa watu wako, ukawatakase leo na kesho,wakazifue nguo zao, wawe tayari kwa siku ya tatu, maana siku ya tatu BWANA atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote' ref: kut 19:10, hii inaelezea kuwa Mungu anapenda watu wasafi na walio smart...nadhani umenielewa
http://www.youtube.com/watch?v=4XpeY9kjyBoIpo mistari fulani katika moja ya Album yake anamsukuru Mumewe Godfrey Muhone..hope bado ni Mumewe hasa..but has gone long way to tell.
tafuta nawe utapata............... maana kila abishaye hufunguliwewa naye atafutaye huona............... acha uvivu.............. hizo nyimbo huenda ziliimbwa zamani kabla huyo mjasiriamali beatrice mhone hajazaliwa....................
wacha shobo mtoto wa kike,kama unajua nani kaimba si uweke hapa???
kwa kweli mie siijui nyimbo yake original maana zote ametoa ktk kitabu cha nyimbo za injili cha lutheran,bwana yesu yuko wapi,kijito cha utakaso n.k.sio mbaya lkn anaimba vizuri na hayo mabadiliko yake siyajui!ukimtukuza mungu haimaanishi ujiweke kijima.hizo chache nanzozijua na kuzipenda zinanitosha!!...huyo aliyeimba hizo nyimbo mbili ni nani kama sio beatrice muhone???