Mkazi mmoja wilayani Muleba katika mkoa wa kagera anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kumpa ujauzito mtoto wake wa kike wa kumzaa. Bwana Alex Felix, anatuhumiwa kumpa mimba binti huyo mwanafunzi wa kidato cha kwanza. Habari zinasema Bw. Felix alikuwa akimbaka msichana huyo hali iliyopelekea kupata ujauzito.
Kufuatia tukio hilo, mkuu wa wilaya ya Muleba Bi Angela Mabula amemuagiza mkuu wa polisi wa wilaya hiyo kumtafuta na kumkamata mtuhumiwa huyo na hatimaye kumfikisha katika vyombo vya sheria. Kwa sasa msichana huyo anahifadhiwa nyumbani kwa mkuu huyo wilaya baada ya baba yake huyo kutoweka na hivyo kukosa mtu wa kumpa matunzo. Binti mpaka sasa ana mimba ya miezi mitatu.😕😕😕

...Yap! hata mimi nilifikiria hivyo vinginevyo binti atapoteza nafasi ya kusoma. But, mazee naona pia imekaa kimtindo maana kwanza ni kosa kisheria kufanya abortion na pia endapo huyo jamaa atapatikana na kufikishwa mahakamani kidhibi ni hiyo mimba huoni ikitolewa watakuwa wamepoteza ushahidi??Ni aibu. nafikiri hiyo mimba wangetoa pia
Huyu Alex akipatikana, kwanza alambwe bakora 24, then mvua 30 iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo potofu kama yake.. Looooh! Aibu..
A complete disinterdgration in family.
BINTI ANAKUWA MKE MWENZA!
Lakini katika familia kama hii, ujue ilikuwa na matatizo tangu mwanzo.
Huyu m'baba most probably alikuwa amemwacha AU KUTENGANA na mkewe, akabaki na binti hapo nyumbani, ndo akaanzisha usanii huo .
....Nakuchukia kuachana..." Jesus
mh hii ni aibu kubwa ivi inaanzaje sipati picha mtoto atamwitaje babu yake baba
......Duniani hapa kuna mambo jamani, baba mzima kumbaka mwanawe hata mshipa wa haya hana mhhhh!! Huyo mzee atafutwe tu hadi apatikane, na afungwe kifungo cha maisha. Ukisikia mtu mzima ovyo ndio huyu baba.