Aunt Leah alivyoliwa kimasihara

IMENAGITERO

Senior Member
Joined
Mar 18, 2026
Posts
106
Reaction score
3
Nimekumbuka 2021 nilimtongoza mmama mmoja alikuwa mkurugenzi wa sehemu niliyokuwa nafanya kazi akaniambia: “Wewe si unajua mimi ninaweza kuwa mama yako?”

Sasa nikajisemea ili nisipoteze pambano lazima nirushe ndoano nikamuambia: “Ni kweli Aunt Leah lakini upendo na hisia havizaliwi kwa kuangalia umri.”

Akaniambia “kesho ukifika kazini njoo direct ofisini kwangu uniambie hayo maneno live ukiwa umenitizama usoni”

Kesho yake nilivyofika tu kazini moja kwa moja nikanyoosha ofisini kwake na nilivyofika tu akamtoa nje msaidizi tukabaki mimi na yeye ofisini.

Nikakaa nikamwambia “Aunt Leah kama nilivyokwambia jana kwenye simu, nimechoka kujifanya mtakatifu wakati ndani yangu napambana kimwili, kiakili na kihisia. Kiukweli najilaumu sana mimi kuchelewa kuzaliwa kuliko wewe. Sikulaumu kunizidi umri hilo ni jambo la kawaida. Tatizo langu ni kwa nini ulizaliwa mapema hivyo?

Kama ungekuwa wa rika langu, huenda leo tungekuwa tumeoana, tunasafiri pamoja, tunapozana hisia na maisha yanaendelea”

“Najua unanizidi pesa, umri, legacy na heshima kwenye jamii. Lakini mimi nakupenda. Sio kindugu wala kirafiki… nakupenda kimapenzi. Nisamehe kama nimekukwaza. Pokea hiki kidogo nilicho nacho najua hakiwezi kulingana na ulicho nacho wewe”

Nikamalizia na “Usiongee chochote mimi naondoka” nikatoka nje kuendelea na majukumu yangu, baada ya muda simu yangu ikaita.

Kucheki hivi, ni Aunt leah ndio kanipigia ananiambia “Umenifanya nini wewe mtoto? Mbona umeniachia hisia kali hivi?”

Nikajisemea kimoyo moyo huyu kwisha habari yake nikamuambia “Ingia WhatsApp” nikamuandikia ujumbe mrefu wa kumchanganya zaidi nikaambatanisha na view once 3

Mmama akaanza kusema amechanganyikiwa kihisia, akaniambia “Anko wako amekalia umalaya! Mimi nina karibu miezi 11 sijapata mapenzi, sasa hizi view once umenichanganya kabisa”

Akamalizia kwa kusema “Nipe account number nikutumie pesa. Tafuta hotel nzuri, sehemu tulivu nje ya mji”

Basi bwana nikatafuta nje ya mji ndani ndani huko tukaandaa ziara yakikazi ya week mbili mimi na Mkurugenzi na story yetu ikaishia hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…