R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 53,163 Reaction score 104,885 Oct 3, 2026 #1 Zamani watoto wanaosomea udaktari (MD) walikuwa wanapata mikopo ya HESLB. Hivi utaratibu huu bado upo?
Zamani watoto wanaosomea udaktari (MD) walikuwa wanapata mikopo ya HESLB. Hivi utaratibu huu bado upo?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 62,731 Reaction score 181,886 Oct 3, 2026 #2 Nafikiri ni huko huko🤔
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,295 Reaction score 18,164 Oct 3, 2026 #3 afya bado inapewa kipaumbele, nyongeza, kila mwaka heslb huchapisha makundi ya kozi wanazozipa vipambele
afya bado inapewa kipaumbele, nyongeza, kila mwaka heslb huchapisha makundi ya kozi wanazozipa vipambele
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 53,163 Reaction score 104,885 Oct 3, 2026 Thread starter #4 Lax said: afya bado inapewa kipaumbele, nyongeza, kila mwaka heslb huchapisha makundi ya kozi wanazozipa vipambele Click to expand... Zamani MD walikuwa wanapata mkopo wote. 2012 my daughter alipata mkopo pamoja na kuwa nilikuwa mfanyakazi wa umma
Lax said: afya bado inapewa kipaumbele, nyongeza, kila mwaka heslb huchapisha makundi ya kozi wanazozipa vipambele Click to expand... Zamani MD walikuwa wanapata mkopo wote. 2012 my daughter alipata mkopo pamoja na kuwa nilikuwa mfanyakazi wa umma
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,581 Reaction score 25,470 Oct 3, 2026 #5 Retired said: Zamani watoto wanaosomea udaktari (MD) walikuwa wanapata mikopo ya HESLB. Hivi utaratibu huu bado upo? Click to expand... Upo upo mkuu
Retired said: Zamani watoto wanaosomea udaktari (MD) walikuwa wanapata mikopo ya HESLB. Hivi utaratibu huu bado upo? Click to expand... Upo upo mkuu
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,295 Reaction score 18,164 Oct 3, 2026 #6 Retired said: Zamani MD walikuwa wanapata mkopo wote. 2012 my daughter alipata mkopo pamoja na kuwa nilikuwa mfanyakazi wa umma Click to expand... muundo wa kipaumbele,
Retired said: Zamani MD walikuwa wanapata mkopo wote. 2012 my daughter alipata mkopo pamoja na kuwa nilikuwa mfanyakazi wa umma Click to expand... muundo wa kipaumbele,
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,625 Reaction score 198,117 Oct 4, 2026 #7 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
TypingError JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 553 Reaction score 516 Oct 18, 2026 #8 Basi sawa...