Very very good!!! That is what we call positive atheism
Why atheists are using US Dollars with the word IN GOD WE TRUST?
Swali lakijinga.
Denmark wana dollars zenye hilo neno?
Japan wana dollars zenye hilo neno?
Etc.
Nenda kwanza kwenye historia.
Wakati huo wa mwanzo watu walikua wanabadilishana vitu.
Wakatumia gold etc.
For atheists that word doesnt say anything at all!
Kila mtu duniani anajuwa kuwa ni hela ya Marekani. Hivi upo dunia ya wapi wewe! Au ndio dismiss inaanza tena. lol
It was not a shock when I came across an article in business week claiming the happiest countries are less religious with majority of their citizens Atheists. This included Scandinavian countries which are rated consistently as the best countries to live in and citizens are happier. This is very damning to Christians especially since they insist religion is necessary to keep a society healthy, happy and moral.
Kwa maana hio kule Denmark Japan Etc hakuna Atheist.
Unaikumbuka hii?
I remember that, but still you are not answering my question. Why do Atheists use US Dollars while consciuolsy knowing that the monies carries the word IN GOD WE TRUST, which is against their belief?
Nikitu ambacho hakiwakeri atheist wa marekani.
Mnaokereka ni nyie mnaoamini deen kwamba wanazitumia hizo dollars.
Hebu angalia mfano mwingine.
Mbona nyie watu wa deen hamkereki kutumia formula za wanasayansi ambazo zinaiendesha dunia sasa?
Ok, inaoneka kuwa umeshindwa kujibu.
Hivi hujuwi hakuna kama Mungu?! Sasa tukereke kwa kitu ambacho Mwenye Ez Mungu kipo chini ya uwezo wake? What ever kitu mnacho dai kuwa mmegundua kilikuwepo before, what happened ni Mungu has divulge, that is all. Hakuna jipya kwa Mungu.
Wewe ukiniambia kwanini watu wanakufa na sayansi yako imeshindwa kuwafufua, then you will be talking something to me?
I remember that, but still you are not answering my question. Why do Atheists use US Dollars while consciuolsy knowing that the monies carries the word IN GOD WE TRUST, which is against their belief?
Wewe ukiniambia kwanini watu wanakufa na sayansi yako imeshindwa kuwafufua, then you will be talking something to me?
Why atheists are using US Dollars with the word IN GOD WE TRUST?
Maswali anayo kimbia darwin mjuwaji mpaka hivi sasa!!!!!!!!!!
Nikitu ambacho hakiwakeri atheist wa marekani.
Mnaokereka ni nyie mnaoamini deen kwamba wanazitumia hizo dollars.
Hebu angalia mfano mwingine.
Mbona nyie watu wa deen hamkereki kutumia formula za wanasayansi ambazo zinaiendesha dunia sasa?
Wewe ukiniambia kwanini watu wanakufa na sayansi yako imeshindwa kuwafufua, then you will be talking something to me?
Sayansi bado haina uwezo wakufufua watu waliokufa neither watu wa deen pia.
Ila nikwamba wako mbioni kwani sasa wanasayansi wanauwezo wakutumia viungo vya mtu aliyefariki nakumgawia mgonjwa na akaendelea kuishi.
DEEN INACHOFANYA MPAKA SASA NININI? KUSUBIRI UZIMA WA MILELE!?
Do you believe on that? Eternal life?
[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Organ_donation[/ame]Viungo vya mtu aliye fariki!, hawa watu walio fariki wanaishia wapi?
[/COLOR]
WANAOAMINI HAYO NI WATU WA DEEN kama Max!!!
http://en.wikipedia.org/wiki/Organ_donation
Just like an old car!! vile vizuri vinatumiwa kwa magari mengine yaendelee kudumu, vilivyobakia vinatupwa.