Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,275
- 44,789
Kaka Mwanakijiji, tatizo langu ni kuwa mimi ni msichana na ninapenda mahusiano na mtu wa jinsia tofauti. Siku za hivi karibuni kuna dada mmoja ambaye nadhani anapenda mahusiano ya kimapenzi na kina dada wenzake. Kila akiniona huwa anazungumza huku ananirembushia macho na kunikonyeza konyeza.. halafu anataka yaani tuwe marafiki wa karibu. Mwanzoni nilidhani ni urafiki tu hadi pale nilipodokezwa kuwa huyo dada ni mcheza timu ya nyumbani.
Sasa kwa mambo mengine yote ni mtu mzuri lakini naogopa kumzoea au kuwa comfortable sana kwake asije akadhania ndio namkubalia. Juzi kaniomba ati twende Gym pamoja to work out. Kwa kweli najisikia kukwazika. Nifanyeje. Tafadhali usitoe jina langu.
mwambie akimbie, aachane na huyo baazazi wa Kike, lakini ninini hii ?Siku za hivi karibuni kuna dada mmoja ambaye nadhani anapenda mahusiano ya kimapenzi na kina dada wenzake. Kila akiniona huwa anazungumza huku ananirembushia macho na kunikonyeza
mwanakijiji nipe no ya huyo dada mkonyezaji au mwambie aje kwangu,tutamalizana in apeacefull mana,it will be a gals tok,count on me.ASAP

Mmmmh!
We Pearl wewe unatafuta balaa sasa, inavyoonekana huyo anaweza hata akakubaka.
πππ...
y mmh?belive me will wel be both safe,u wanna be zea?she cnt confess wat I wanna tok to ha
We Pearl wewe unatafuta balaa sasa, inavyoonekana huyo anaweza hata akakubaka.
pearl umewafanya watu kukutilia shaka na wewe unacheza gemu na timu ya nyumbani! muahahaha watu JF hasas wana visa π