Jituoriginal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 349
- 32
kumbe nitakufa masikini eeh!!!!!!!
haya nipeni mbinu mbadala wajameni za kujikwamua kiuchumilol!!
Mimi namfahamu Chilato miaka mingi, alikuwa TRA akaacha akaingia kwenye Network Marketing ya Forever Living. Amepiga hatua sana na hawa FL na katengeneza peasa kwelikweli. Ukitaka kujua alichopata cha ziada na TShs za system hiyo hapa bongo, FL walimlipa gawio in USD 147,439.38 (2009) na USD 163,130.00 (2010). Hizo laki 600,000 ni za kwako wewe kuanzishia faida na bonasi ya kueleweka na siyo desi kama unavyofikiria. Hudhuria workshop za Ijumaa pale Holiday Inn ufunguke macho, huna haja ya kuacha kazi yako wakati unafanya network marketing! unaacha wakati ukishaona kipato chako kwa mwezi ni zaidi hata ya mshahara wako kaziki mara 5, 6 au zaidi!!
Nimehudhuria Seminar Millenium Tower ya Forever Life,muendeshaji akiwa Mr Chilato anajisifia kuwa kauaga umasikini ,kwa kupitia forever life,anaponda kuajiriwa kuwa tutakufa masikini. Kwa upeo wangu nimesikiliza maelezo yake naona ni kama DEci vile kwani kujiunga na 600.000 ada ya uanachama. Kisha u natakiwa ulete watu zaidi ili upande daraja .
Mfumo huu ni pyramid. Tatizo ni pale watu wenye appetite hiyo watakapoisha. Wale wa mwisho chini watafanyaje kurudisha pesa zao?Nathani ndugu, ni vizuri ukatoa hoja yenye tafiti, na sisi tusikie tumesaidika, kuliko kutoa maelezo ambayo hayajitoshelezi, ok vizuri uliposema kwa upeo wako umeona ni kama DECI, umekuwa muwazi kwamba hukuelewa, sasa kama forever ni deci mbona serikali haijaifunga mpaka leo? unafaham FLP imeanza mwaka 1978. Je ulinyanyua kidole kuuliza hilo swali lako wakati upo hapo millenium tower kwenye meeting?
Kimbia mapema, hawa matapeli wanakuja na mbinu zingine mpya za kuibia mazwazwa. Sepa mkuu.Nimehudhuria Seminar Millenium Tower ya Forever Life,muendeshaji akiwa Mr Chilato anajisifia kuwa kauaga umasikini ,kwa kupitia forever life,anaponda kuajiriwa kuwa tutakufa masikini. Kwa upeo wangu nimesikiliza maelezo yake naona ni kama DEci vile kwani kujiunga na 600.000 ada ya uanachama. Kisha u natakiwa ulete watu zaidi ili upande daraja .