Sawa kabisa, suala ni kuzidisha upendo hatabadilika.nampenda sana mkuu, was2 wangu nona miaka kifika asije akageuka, ndio mana namuuliza sasa.
umri ni namba tu mkuu.wapo wenye miaka 50 lakini mziki wao balaa.na wapo vijana miaka 18 tu lakini choka.cha msingi ni kuanza mikakati ya kutunza afya mapema ili hata ktk umri huo uendelee kua na uwezo wa kugawa dozi inavyotakiwa.
Mi naona hili ni shairi tu and you dont mean anything serious!
Kama ni mkeo kwanini ufikirie uovu huo?...akitafuta bwana wewe utafaidi nini?
mimi na mke wangu (3 yrs mrrge), age gap yetu ni 17 yrs.
tumejaaliwa kupata watoto wawili wazuri, tunapendana na
hasa yeye ananipenda sana2.
kwa muda nimekuwa nikikerekwetwa kuhusu future yetu,
huwa nafikiria nikifiaka 50 yeye atakuwa ndio kwanzaa 30's
unajuwa mke na mume sio kula na kuvaa tu, kuna mambo
ya uke na uume, na age kubwa itaanza kuta tatizo hahaha.
nimemweleza (for her future), ni bora atafute mume age
kama yeye mapemaa kabla ya kufika mbali, lakini imekuwa
vigumu kukubali, anasema hataki kusikia age difference yetu,
atanipenda mpaka kufa.
wasi2 wangu uko pale pale, mola akinifikisha umri mkubwa
labda fikra zangu mbaya - nini advise yenu, continue with
our life or else...

ikifika hivyo, mimi pia nitatafuta size yangu..
Watu wengine bwana, yaani uache kuenjoy maisha sasa na mkeo ukamwacha afurahie life unaanza kumkatisha tamaa kuhusu suala la miaka 10 mbele? na hao watoto wenu?
Usingemuoa tokea mwanzo bora maana yaonyesha humpendi.