Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Acha kujiuliza vitu vidogo vidogo kama Viwanda; Jiulize Machimbo yote ya Madini Nchi ya Tanganyika inapata asilimia ngapi?
Botswana wanapata 40% Tanganyika 0%
Ni kiwanda cha Zaine Shaarifu 0774 477777 amesema Waumini wa Mwingira wamechoma koraniPolisi Kinondoni washikilia watu 51 wa kanisa la Efatha Mwenge kutokana tuhuma za kuchmoa kiwanda cha Afro Pluss na vurugu.
https://twitter.com/#!/ITVTANZANIA/status/189386886123495425
Source: ITV
Hapo kwa Mwingira ni SodomaMbona Yesu alimwaga vitu walivyokua wanauza wachuuzi kwenye Sinagogi?
Mwingira hana nguvu ila analindwa.Mtu akisha baka bila hata Kinga ,anapewa Ukimwi na kukosa nguvuhuyu jamaa mwingira ana nguvu gani,tazama bagamoyo,tazama,ishu ya kubaka serikari kimya tu,jamani tutaisha