nina uhakika iko juu ya Udsm pia....Mimi nashindwa kuamini hii kitu..kwani niliona University of Morgadishu iko juu ya University of Ghana!
Sijui kama kuna walakini!
Ndo hivyo tena!
nina uhakika iko juu ya Udsm pia....
Japo sijui vigezo rasmi vya hizo ranking, UDSM ingestahili kupata a better ranking kama sio baadhi ya matatizo ya kujitakia yanayosabaishwa na wahadhiri wetu.
Nitatolea mfano Kitivo cha Sheria, UDSM. Kwa miaka zaidi ya 15, kitivo hicho hakijawahi kutoa 1st Class ya Sheria. Wakati nikiwa UD, kuna baadhi ya wanafunzi were really bright tuliwategemea 1st Class lakini wapi. Niliwahi kuwauliza wahadhiri kulikoni, nilijibiwa in short wanafunzi wa siku hizi, hawasomi.
Conclusion binafsi nimeifikia kuwa japo kunawanafunzi wazuri wangeweza kupata 1st Class lakini walimu wanawabania. Matokeo yake ni chuo kinachofelisha. Kukosekana kwa 1st Class kumepelekea hakuna Mtanzania aliyekwenda kusomea advanced degree sheria kwenye the best law universities for the past 15 years. Hivyo kuchangia kudharaulika kwa LL.B ya UDSM. Kwenye EAC. Zamani the best law students walitoka UDSM, now Makerere na Nairobi wanamwaga ma 1st Class na kupeleka vijana Yale kiasi cha kufanya LL.B yetu isahaulike kwenye medani za kimataifa. 1st Class 3 za mwisho za LL.B, UDSM ni Dr. Asha Rose Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Dr. Hamoud Majamba. Naamini kumetokea vijana wazuri tuu ila maticha waliwabania na wataendelea kuwabania kisa kwanini wao wapate?.
Niliwahi kutembelea UN, HQ pale New York. Nikauliza taratibu za kupata kazi UN. Sifa ya kwanza ni Advanced Degree ambapo 1st Degree lazima iwe 1st Class ama Upper 2nd with Honours. Ajira hizo huzigawa kwa Zones mbalimbali. Tanzania iko The Eastern & The Horn of Africa. Tuko kundi moja kwa nchi za Afrika Mashariki, Somalia, Ethiopia na Eritrea. Asilimia kubwa ya nafasi hizo zimeshikwa na Wasomali wakifuatiwa na Wakenya, Waganda, Waeritrea, Waethiopia na sisi Watanzania ndio wa mwisho.
Nikamuuliza mwenyeji wangu, mtu wa foreign hii inakuwaje?. Au inamaana Watanzania ni vilaza?.Akanijibu hapana akasema tatizo la Watanzania hawaombi hizo nafasi zinapotokea.
Utafiti wangu ukagundua kila zinapotokea nafasi, wenzetu wanazitangaza hizo nafasi kwenye local media zao kwa raia wao na kuwaencourage waombe, sisi foreign wanazibania kupeana na matokeo yake wanakosa na wenzetu wanazijaza, kisa kwanini wewe upate. Japo nafasi hizo ziko open kwenye net, pnp yenye ufs foreign office ina matter sana.
Katika kubaniana academically, tunajikuta tunashusha rank za vyuo vyetu.
Conclusion binafsi nimeifikia kuwa japo kunawanafunzi wazuri wangeweza kupata 1st Class lakini walimu wanawabania. Matokeo yake ni chuo kinachofelisha. Kukosekana kwa 1st Class kumepelekea hakuna Mtanzania aliyekwenda kusomea advanced degree sheria kwenye the best law universities for the past 15 years. Hivyo kuchangia kudharaulika kwa LL.B ya UDSM. unashusha rank za vyuo vyetu.
Hmmm! Pamoja na UDSM kufungwa karibu kila mwaka kutokana na migogoro bado kinashika nadasi ya 15!!!!
Huu ndio aina ya uzalendo Watz tunataka!
Ahsante Mkuu!
Quality or quantity? Ipi muhimu ndugu?
Sio kielimu nafikiri ni website yake.
Kwa hiyo hata kama wao wakigoma website ipo hewani.
Njimba
Its not fair kusema flatout lie. Nimetolea mfano kitivo cha sheria, UDSM, nimekuambia for more than 15 hatujatoa 1st class ya sheria. The top law school inaongozwa na Yale.....flatout lie,practically nawajua waliotoka hapo Law faculty na ningeweza kuweka majina yao hapa lakini privacy issue haziruhusu,na wamesoma to the one of the best law schools in the World from Columbia NY,Northwestern Chicago sasa sijui wewe hizo data zako ni za wapi? na nani kakuambia 1st class nyingi ndio ubora wa chuo?