Karibu the magic village empire hapa utakutana na utamaduni na asili utajifunza ngoma za asili makabila tofauti tofauti kutoka Tanzania ngoma za asili pendwa kabisa kama
Lizombe kabila la wangoni
Sindimba kabila la wamakonde
Masewe kabila la wayao
Chikocha kabila la wangoni
Ling'oma kabila la wanyakyusa
Na nyingine nyingi
Piah kwa burudani za asili tunatapatikana mbeya mjini rift valley roundabout ya kwenda chunya
Mawasiliano 255 750 345 288