Hizi nafasi za kazi naomba waende wale ambao hawana kazi kabisa, mimi mikoa ya huko ni kupoteza uelekeo tu. Hasa wale ambao tumeishi mjini kurudi huko ni kama unarudi nyuma. msiache kazi zenu dar kwenda huko maporini boarer.
Ni usahuri wa bure, think critical.
Nimekutumia CV yangu kwenye PM yako mkuu......Administrative Assistant
Category:Office & Admin
Location:Kigoma, TanzaniaEmployment Type:Full-TimeSummary:The United Nations Children Fund(UNICEF) Description:Requirements:
Interested candidates should apply in writing/online with a copy of their CV with vacancy notice number 2009/22 clearly marked on the envelope. Do not attach copies of your certificates.
- Completion of secondary education. Ability to operate computers and telecoms equipment
- Five years of progressively responsib;e clerical, administrative or financial work
- Very good knowledge of the local language and one or two languages of the organization.
jamaa kaleta infor nusu nusu.....wapi watu watume maombi? ndio maana mie nimeamua kumtumia CV yangu kwenye PM yake ajue wapi ataitumaUnge attach website sasa, mbona unaweka kitu halafu huweki wapi wapate hizo website ili wajaze form? Usingeleta kabisa kuliko kuleta nusunusu.
Administrative Assistant
Category:Office & Admin
Location:Kigoma, TanzaniaEmployment Type:Full-TimeSummary:The United Nations Children Fund(UNICEF) Description:Requirements:
Interested candidates should apply in writing/online with a copy of their CV with vacancy notice number 2009/22 clearly marked on the envelope. Do not attach copies of your certificates.
- Completion of secondary education. Ability to operate computers and telecoms equipment
- Five years of progressively responsib;e clerical, administrative or financial work
- Very good knowledge of the local language and one or two languages of the organization.
Kwa nini unadiscourage watu hivyo kuapply hiyo kazi ya UNICEF?ikiwa dar tu ndo watu waombe jamani?maisha ni popote na kazi pia ni popote si lazima iwe mjini tuu sijui rusha mara dar mara mwanza maana hiyo ndo mikoa inayojulikana sasa. halafu mwisho wa siku watu wanalalamika mikoa mingine imebaki nyuma itaacha isibaki nyuma kama work force yenyewe ndo hiyo inadiscourage wengine kuomba kazi huko???kudevelop kwetu kutachukua muda kweli with that attitude...Hizi nafasi za kazi naomba waende wale ambao hawana kazi kabisa, mimi mikoa ya huko ni kupoteza uelekeo tu. Hasa wale ambao tumeishi mjini kurudi huko ni kama unarudi nyuma. msiache kazi zenu dar kwenda huko maporini boarer.
Ni usahuri wa bure, think critical.