Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,273
- 169,207
The greatest destroyer of peace is abortion because if a mother can kill her own child, what is left for me to kill you and you to kill me? There is nothing between.
Mother Teresa
Grader, hayo yote hapo juu haijawa sababu ya kukufanya uwe muuwaji wa vichanga.kaka Inviolata unachoongea ni muhimu sana ukitazama kwa misingi ya dini,lakini angalia na tafakari kwa nini akina dada wengi wanafanya ABOTION hiyo ndiyo mada ya muhimu sana, kama unavyoona watu wengi wanajiua wenyewe kwa kamba au kwa sumu.nafikiri wakina dada wengi wanatoa mimba kama inavyodaiwa na mtoa mada hapo juu. nikwamba vinavyosababisaha ni kama hapa chini ninavyoandika.
1.watu wengi wanapenda starehe sana kuliko majukumu hassa ya kulea watoto
2.kukosa huduma kutoka kwa baba mtoto mtarajiwa.
3.Umasikini wa kipato.
4.Kuogopa wazazi na serikali kama dada mwenyewe ni mwanafunzi.
5.ukosefu wa elimu ya dini na hata ya dunia kuhusu umuhimu wa maisha.
6.tofauti ya dini au kabila huwa pia linachangia.
7.ushawishi,ulevi,elimu,ukosefu wa akili,utumiaji wa maadawa ya kulevya n.k
hayo ni machache tu. ila nataka kusema kuwa hapa duniani cha kujali sana ni elimu ya dini tu kwani ni muongozo kwa wale wenye akili. ukikosa elimu ya dini lolote kati ya haya utafanya hata kubaka
Utoaji wa mimba unaruhusiwa tu iwapo tu kuna uwezekana wa mama kufariki kwa kuwa na kiumbe hicho, au kuendelea kwake kuwa na mimba hiyo kutamletea mauti. Na isitoshe kukubalika huko, bali kumetakiwa uthibitisho huo utolewe na daktari mwenye kuaminika kabisa.
Ama kuitoa mimba tu kwa sababu ya kutotaka mtoto, au kukhofia riziki yake, au malezi yake, au kuchelea gharama za maisha kama kumsomesha, kumvisha, au kumlisha n.k. hayo yote hayaruhusiwi kisheria.
Mkuu mi nadhani ni more than evil, maana hata huyo tunaye msingizia kuwa anatushawishi kutenda hayo tunayo yatenda, hatujawahi kusikia katoa mimba.Wengine eti wanatoa mimba kwa sababu hawako tayari kuwa na familia au kwa sababu mwanamme aliyejaza hiyo mimba kaingia mitini na demu anakuwa hataki kulea mtoto peke yake. Very evil!