Set in New York City, "Day Eight" unfolds amidst the shadows of the Statue of Liberty and the United Nations as President Allison Taylor (Jones), alongside new chief of staff ROB WEISS (Chris Diamantopoulos), negotiates international security with OMAR HASSAN (Anil Kapoor), a determined Middle Eastern leader visiting the U.S. on a peacemaking mission. As the new day begins, an upgraded CTU operates under the command of M.B.A.-schooled, razor-sharp head honcho BRIAN HASTINGS (Mykelti Williamson), who supervises quirky CHLOE O'BRIAN (Mary Lynn Rajskub), expert data analyst DANA WALSH (Katee Sackhoff) and systems analyst ARLO GLASS (John Boyd).
COLE ORTIZ (Freddie Prinze Jr.), an ex-Marine who wants to follow in Bauer's footsteps, leads field operations while Agent RENEE WALKER (Annie Wersching) returns with an agenda of her own.
Hizi dvd sijui zikoje, nilinunua moja yenye season 9 na sasa unadai season 8 ndio ya mwisho!
imeanza wapi? au fox?
Hehehe ulinunua DVD za wahindi nini? Season 8 imeanza jana. Jack Bauer ni babu na officially sio mwajiriwa wa CTU.
Kwa wale wa US iko Fox.
Hizi dvd sijui zikoje, nilinunua moja yenye season 9 na sasa unadai season 8 ndio ya mwisho!
mchina huyo anagawa kuna moja nimeiona inaishia 9Hizi dvd sijui zikoje, nilinunua moja yenye season 9 na sasa unadai season 8 ndio ya mwisho!
ile ni sio season nine,ni utangulizi wa season 8..Hizi dvd sijui zikoje, nilinunua moja yenye season 9 na sasa unadai season 8 ndio ya mwisho!
ile ni sio season nine,ni utangulizi wa season 8..
ile movie nadhani jac alikuwa sierra leone au sio?
inaitwa REDEMPTION
ni movie tu
sasa hiyo ya redemption ya sierra leone na hiyo ya toni akiwa against kaziangalie kwa makini,utagundua kuwa:Hapana, ni pale Jack Bauer alipoathiriwa na gesi ya sumu, Tony Almeida wakati huo alikuwa ana-act against Jack na CTU! Kim alipewa taarifa za kuumwa kwa baba yake na bahati mbaya ugonjwa huo uliotokana na gesi ya sumu hauna dawa lakini madaktari walhdai wangeweza kufanya majaribio ya kutafuta tiba, hata hivyo ni mpaka cell za mtu wa karibu zipatikane. Japokuwa Jack hakutaka Kim ajitokeze kutoa cells zake lakini Kim alikubali baadaye...Hiyo ndio Season 9 ya Kihindi! Hayo mambo ya Sierra Leone (Sangala?) ya REDEMPTION yalikuwa kwenye Season 7 au 8 ya Kihindi!
sasa hiyo ya redemption ya sierra leone na hiyo ya toni akiwa against kaziangalie kwa makini,utagundua kuwa:
REDEMPTION-ni episode ya kwanza ya season eight
hiyo wanayoita 9 ni mwendelezo wa redemption baada ya jac kurudi kutoka africa
hiyo wanayoiita 9 HAIJAISHA.ina episode kama nane hivi...!kuna kumi na sita ziko pending
UTAHITIMISHA kwamba season 8 bado haijaisha....!
...THEY ARE TOO COMMERCIAL!wanajua wakikwambia season nine ni lazima utanunua tu!.....Goeff nadhani mkanganyiko unatoke kwa sabau hizi kitu zipo za aina 2, zetu zile za Zhong Hua na zile za ukweli....zile za ukweli mtiriko wake uko tofauti na za mchina. nilienda kwa wale wanaouza za ukweli kipindi kile seaason 9 feki imetoka nikauliza wakanishangaa!!!
sasa hiyo ya redemption ya sierra leone na hiyo ya toni akiwa against kaziangalie kwa makini,utagundua kuwa:
REDEMPTION-ni episode ya kwanza ya season eight
hiyo wanayoita 9 ni mwendelezo wa redemption baada ya jac kurudi kutoka africa
hiyo wanayoiita 9 HAIJAISHA.ina episode kama nane hivi...!kuna kumi na sita ziko pending
UTAHITIMISHA kwamba season 8 bado haijaisha....!