ziwa victoria

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbours Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometre.On 10 September 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on 11 April 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi kwa nini Mkoa wa Shinyanga unahesabika kuwa uko kanda ya ziwa na wakati hakuna sehemu ya mkoa iliyopakana na ziwa Victoria?

    Shalom Najiuluza,huu mkoa wa shinyanga kwa nini huwa wanauweka miongoni mwa mikoa ya kanda ya ziwa? Nikiangalia ramani sion kama kuna sehemu ya huu mkoa iliyopakana na ziwa victoria. Kwa maoni yangu shinyanga ilitakiwa iwe kanda ya kati au magharibi huko ikaungane na wakina Kigoma na tabora.
  2. C

    Meli ya MV Mwanza yagonga jiwe ziwa Victoria, Mwanza

    Video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inaonesha meli ya MV Victoria ikigonga jiwe katika Ziwa Victoria, jijini Mwanza. Tukio hilo linadaiwa kutokea leo jijini Mwanza. Hata hivyo, taarifa zaidi kuhusu chanzo cha tukio hilo na madhara yaliyoweza kujitokeza bado hazijafahamika. Meli ya MV...
  3. TPA Yamshukuru Rais Samia Uwekezaji Wa Sh60 Bilioni Bandari Za Ziwa Victoria

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uwekezaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 60 katika kuboresha bandari za Mwanza Kaskazini, Bukoba na Kemondo, unaolenga kuimarisha usafirishaji wa abiria na mizigo...
  4. C

    Zana za uvuvi haramu zenye thamani ya shilingi milion 21.1 zateketezwa Ukerewe

    Mkuu wa wilaya ya Ukerewe Cde. Christopher Ngubiagai Novemba 04, 2026 ametetekeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi 21,100,000.00 zilizokusanywa kwa operesheni ya ukamataji wa zana hizo katika maeneo ya Kata za Ngoma, Bukanda na Bwiro iliyotekelezwa na Jeshi la polisi, Maliasili na...
  5. Ziwa victoria ukanda wa musoma na visiwa vya ukurewe kumetupwa vifungo vya maisha ya watu wengi. Chezea pote ila sio uchawi wa ziwani

    Inachukulia hatma yako alafu inafungwa kisawa sawa na kunenewa na inatupwa ziwani. Kinachofatia ni wewe kuona cha mtema kuni maisha yako yote. Nafikiri wakazi wa majita na ukerewe wanaelewa nachokimaanisha na kina uzito gani. NIWATAKIE MEMA KATIKA NJIA ZENU.
  6. Mara pap uganda ifunge mto nile usitoe maji ziwa victoria kwa mwezi 1

    Unaisi nini kitatokea 1.. 2.. 3.. 4.. Narudi kupitia majibu
  7. Labda kama exposure imebadilisha watu ila watu waliokuwa wanaoa wanawake wa jamii zilizopo kando kando na visiwan mwa ziwa victoria walikuwa wanakiona

    Hapo ulikuwa una 80% ya kulishwa mavitu vya kishirikina, kuchapiwa mtaani, kulea watoto sio wako, vikao vya mara kwa mara vya ugomvi wa mke na mawifi au mama na ilikuwa unakufa mapema sana. Pia ni wanawake walikuwa wanasifika kwa kuvunja ndoa za watu, wenye visa sana na wepesi sana kurukishwa...
  8. Maadhimisho ya siku ya ziwa victoria ni aibu kwa CCM na viongozi wake kwa ujumla

    Leo ilikuwa siku ya maadhimisho ya ziwa Victoria cha ajabu wananci wa jiji la mwanza wamesusia maadhimisho hayo kulikuwa hakuna watu kabisa Waliokuwepo ni waalimu(hawa ndio watu wajinga zaidi Tanzania) na wanafunzi wao tu tena wamesafirishwa kutoka maeneo mbalimbali ya jiji kuja nyamhongolo...
  9. KWELI Maji ya ziwa victoria hubadilika rangi kwa baadhi ya nyakati

    Katika baadhi ya nyakati, wakazi wa maeneo ya kanda ya Ziwa, hususan wilaya ya Ukerewe, wameripoti kushuhudia maji ya Ziwa Victoria yakibadilika rangi na kuonekana ya buluu kijani kibichi chenye mchanganyiko wa bluu Hali hii huwavutia na kuwashangaza wengi kutokana na kutokuwa ya kawaida. Kwa...
  10. Sangara Ziwa Victoria: Ni Baraka kwa Uchumi au Laana kwa Ikolojia ya Samaki wetu wa Asili?

    Habari za muda huu wana-JF, Nimekuwa nikifanya tafakari ya kina juu ya hali ya Ziwa Victoria tangu miaka ya 1980 hadi sasa. Wote tunajua kuwa katika miaka ya 1950, uamuzi ulifanywa wa kumwingiza Sangara (Nile Perch) ndani ya Ziwa Victoria akitokea Ziwa Albert na Mto Nile nchini Uganda. Lengo...
  11. Mama Samia ile ahadi yako ya kuwaondoa samaki ziwani Kisha kuwaweka akina mama pamoja na mamba Kisha ukajenga uzio ndani ya ziwa itakamilika lini?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Najaribu kuiweka hapa ile video ya ya mama Samia ya kuwaondoa samaki ndani ya ziwa Victoria Kisha awaweke mamba na akina mama kwa pamoja Kisha anajenga uzio ndan ya ziwa Victoria Inagoma wakuu video hii Na alisema ahadi hii ataikamilisha...
  12. Ukanda ya Ziwa Victoria (Nyanza) ni eneo linalotoa viongozi wa kimkakati sana, shupavu, na watu kazi

    Watoto wawili kutoka Ziwa Victoria na kama Wakoloni wasingetutawala na kuweka mipaka au wakazi wanaozunguka ziwa Victoria wangetengeneza nchi yao. basi Ukanda wa Nyanza (Ziwa Victoria) ungekuwa ukanda tofauti sana, tumbo la Ziwa lile limetupa Watu Mashujaa sana kwenye majukwaa ya siasa na...
  13. TANAPA kufadhili vizimba vya samaki kudhibiti uvuvi haramu Ziwa Victoria

    SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria kwa jamii ya wakazi wanaoishi jirani na hifadhi ya taifa kisiwa cha Rubondo. Mradi huo ni sehemu ya makundi matatu ya miradi ambayo inahusisha...
  14. GE2025 Samia: Serikali imeanza ujenzi wa uzio ndani ya Ziwa Victoria kudhibiti mamba

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imeanza ujenzi wa uzio ndani ya Ziwa Victoria kwa lengo la kudhibiti mamba ili kuwalinda wananchi wanaotumia ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali. Akizungumza leo, Jumanne...
  15. Polisi Mwanza wapokea Boti ya Mwendokasi yenye thamani milioni 400 ili kufanya kwa Doria Ziwa Victoria

    Jeshi la polisi mkoani Mwanza limepokea boti ya mwendokasi itakayotumiwa na kikosi cha polisi wanamaji kwaajili ya Doria katika ziwa victoria hatua inayolenga kupambana na vitendo vya kihalifu pamoja na kudhibiti uvuvi haramu. Boti hiyo iliyogharimu zaidi ya shilingi milioni mia nne itasaidia...
  16. samaki Aina ya GOGO

    Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
  17. M

    Israel ikifanikiwa katika mpango wake wa Greater Israel Watanzania tujiandae kupoteza Ziwa Victoria

    Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel". Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa zamani ktk bunge la Israel bwana Gal. Netanyahu aliulizwa kama anaamini katika Greater Israel...
  18. D

    Rais Samia: Ua zuri liliochipua katikati ya ziwa Victoria

    Katika kina cha Ziwa Victoria ziwa kubwa kabisa barani Afrika, lenye mawimbi yasiyotulia na upepo wa ghafula ni nadra kuona ua likimea katikati ya maji, likadumu, na zaidi likachanua kwa uzuri wa ajabu. Hilo ndilo fumbo la uumbaji, na huo ndio mfano halisi wa Rais Samia Suluhu Hassan ua zuri...
  19. PreGE2025 Hii boti ya uokoaji inayopelekwa ziwa Victoria imeandikwa Mitano tena na kazi iendelee, si kampeni ya wazi kwa mama?

    Boti maalumu ya uokoaji katika Ziwa Victoria (Ambulance Mwanza) inayosafirishwa kwa njia ya barabara imegeuka kama jukwaa la kampeni maana imeandikwa mitano tena, kazi iendelee. Sasa je mali ya wanachi wote ya watanzania imeaguzwa kuwa kama mali ya mtu moja?
  20. Kwanini tuendelee kuliita Ziwa Victoria na si Nyanza?

    Katika moyo wa Afrika Mashariki lipo ziwa kubwa, lenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kwa mamilioni ya watu wanaolizunguka – Tanzania, Kenya na Uganda. Ziwa hilo, ambalo kwa karne sasa limekuwa likiitwa “Ziwa Victoria,” lilikuwa na majina ya kiasili kabla ya kupewa jina la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…