Takriban watu 41 wameripotiwa kufariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiri kutoka Kigoma, Tanzania, kuelekea Kalemie katika Mkoa wa Tanganyika, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kupinduka katika Ziwa Tanganyika siku ya Alhamisi.
Waziri wa Uchukuzi wa Mkoa wa Tanganyika, Norris Mulongoyi...