zawadi

  1. Serikali hongereni kwa kukwepa lawama ya uokoaji manusura wa Ajali ya Bukoba kupitia kupewa zawadi muokoaji Majaliwa

    Naona hivi sasa Watanzania (Waswahili) kama kawaida yao wameshahama katika Kuizungumzia Ajali na Mapungufu yake na sasa 97% ya Waswahili (Watanzania) wapo katika Kumzungumzia na Kumzawadia Muokoaji wa Taifa Dogo Majaliwa. Taifa lenye Watu (Raia) makini kamwe hawawezi Kushadadia na Kufurahia...
  2. Kutoa Zawadi Kwa Mtu 'Unprofessional' Hadharani ni ku 'demoralize' wale 'Professionals’' walioko

    Hili Kosa msije mkalirudia tena kwani lina Madhara makubwa kwa Mzawadiwa na Watendaji Wahusika atakaowakuta na Ufanisi mzima kwa Maafa yajayo. Watu wenye akili wangelifanya hili kisiri Ili kutoonyesha kuwa wenye Fani yao si Mali Kitu (Watu Goi Goi) tupu ili kutomjengea Kinyongo Mzawadiwa wa...
  3. South Africa wanavyotunanga kwa zawadi ya shujaa Majaliwa

    Nilikuwa napita Twitter nilichokutana nacho mpaka ninechoka kabisa. Zawadi ya shilingi milioni moja inachukuliwa kuwa ni mzaha wa karne hii. Soma mwenyewe: Source:
  4. Zawadi aliyopewa Majaliwa (Shujaa) inaakisi alichofanya? Je, inahamasisha sisi wengine kufanya alichofanya?

    Salama wandugu, Mimi nimefikiria kuhusu hii Tanzania nabaki nasikitika tu,niannze na watu walionusurika najua huko mliko mnafanya ibada za kushukuru, na wengine mnakata keki.Nawaomba kwa uwingi wenu changeni pesa ya kupata nyumba au boti la uvuvi mpeni huyu kijana aliyewaokoa he unajisikiaje...
  5. Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
  6. CHALLENGE: Uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi unapata zawadi

    Jamani tuchangamshe ubongo kidogo, uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi kuna zawadi ya vocha unapata. Kwahiyo jitahidi kuuliza maswali rahisi ili watu wakupe majibu sahihi, wakikosa ujue nawewe umekosa vocha. Naanza mimi kuuliza; 𝗕𝗶𝗻𝗮𝗱𝗮𝗺𝘂 𝗮𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗰𝗵𝗼 𝗺𝗮𝗻𝗴𝗮𝗽𝗶?
  7. Part 2: Ukikaribia Miaka 40 Utagundua Vingi mojawapo ni kuwa Zawadi kubwa Zaidi ni kujaaliwa Akili na kuijaza maarifa sahihi

    Moja ya misafara nilojifunza vitu vikubwa ndani ya muda mfupi , ni huu msafara niloamua kwenda kutalii Falme za kiarabu. Nilianza Sharjah, huko nikakuta ni magodown ya bidhaa used yamejaa. Nikaenda Abuu dhabi kule ni makazi ya matajiri wa kiarabu na ndiko balozi za nchi mbali mbali ziliko...
  8. L

    Rais Samia ni zawadi kwetu Watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu

    Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania...
  9. Tsh. Bilioni 11.5 bado zinamsubiri mwenye taarifa za Joseph Kony

    Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15. Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono...
  10. Hii ndiyo sababu iliyonifanya hata nikienda kumtembelea ndugu yangu sibebi zawadi

    Za usiku siku imeendaje? Ilikuwa hivi nilikuwaga nakaa mkoani basi nikaenda kumtembelea binamu yangu nilikuwa natokea Mtwara nikanunua korosho nimpeleke zawadi nikampa nilipo fika sasa nikiwa najianda kwenda kuoga nikasia wanaongea itakuwa kanunua buku buku wana lahisisha mamb basi nikapotezea...
  11. Urusi yainyang'anya Syria ile zawadi ya S-300 SAM, waipeleka Ukraine maana hali noma

    Hiki kifaa kilikua kinalinda Sysria dhidi ya mashambulizi ya angani, ila sasa Mrusi kwa mapigo anayopokea Ukraine ameanza harakati za kunyang'anya wadau aliokua amewapa silaha za aina tofauti, anazirejesha ili walau zimsaidie kupunguza balaa wanazopokea.... Satellite imagery confirmed Russia...
  12. Simba Queens wanajua jamani wanastahili zawadi

    Hakika wanastahili sijui zawadi gani lakin uongozi was Simba angalieni lakini iwe fundisho kwa club ya simbamen
  13. M

    Anadai leo ni girlfriend day anataka zawadi

    Mtatuua yaani asubuhi asubuhi naamshwa na text ""baby leo ni girl friend day naomba zawadi"" Tangu nizaliwe ndio leo naisikia hii siku, kumbe ipo kweli nimeingia mtandaoni nimeikuta. Sasa huyu bibie ana sherehe kadhaa kwa mwaka na zote zinataka zawadi, valentine day, girlfriend day, women...
  14. Waziri Dkt Stergomena akabidhi zawadi za Wafanyakazi Bora kwa watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), amewataka watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT kuendeleza utii, weledi na uaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao ya kazi, na kuepuka migogoro mahali pa kazi. “Pamoja na kuwa sina mashaka kuhusu nidhamu mliyonayo...
  15. Miss Nigeria 1957 akionesha zawadi yake ya mshindi wa kwanza

  16. Phone4Sale Pre-order tecno camon 19 sasa upate punguzo la bei na zawadi kem kem

    TECNO kwa kushirikiana na INALIPA inakuwezesha kuwa miongoni mwa wamiliki wa kwanza wa TECNO CAMON 19 mara baada ya kufanya PRE-ORDER kutoka katika tovuti ya INALIPA Inalipa na ujipatie punguzo la bei la 5% na zawadi kem kem ikiwemo spika ya Bluetooth, power bank, tiketi ya sinema na t-shirt ya...
  17. 5

    Kwanini Rais Samia ametoa zawadi hii katika ziara yake Oman?

    Nimekuwa najiuliza kwanini mwarabu hakupewa picha ya mlima wa Kilimanjaro badala yake akapewa ile ya Zanzibar Baitul Ajaibu?
  18. Tecno imekabidhi zawadi ya milioni 5 za kitanzania kwa mshindi wa promosheni ya spark 8c

    Kampuni ya simu ya TECNO imehitimisha rasmi promosheni ya simu ya SPARK 8C baada ya kukabidhi zawadi ya milioni 5 pesa taslimu za kitanzania kwa mshindi anayefahamika kwa jina la Mohammed Khatibu. Meneja mauzo TECNO...
  19. Unaweza kutumia kiasi gani cha hela kumnunulia zawadi EX wako? Brad Pitt ametumia £60m

    Pamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na Jennifer baada ya ndoa yake na Angelina Jolie kuanza kusua sua na Jennifer alimueleza mapenzi yake...
  20. S

    Rais Samia kwa sasa utakapoweka ruzuku kwenye bei ya mafuta utakuwa umewapa zawadi wafanyabiashara, sio kuwapunguzia Watanzania makali ya maisha

    Kutokana na hali kali za maisha zinazotokana na kupanda kwa bei ya mafuta, juzi hapa mama Samia aliondoa tozo ya Shs 100 kwenye bei ya mafuta, na baada ya Bunge kuitaka serikali kuchukua hatua zaidi kutoa nafuu ya bei ya mafuta, Mama Samia alimuagiza January Makamba kutangaza ruzuku ya shilingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…