zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Hussein Mwinyi avunja Bodi ya Wakurugenzi wa ZIC

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameivunja bodi ya wakurugenzi wa Shirika la Bima la Zanzibar(ZIC). Amemteua Ramadhani Mwalimu Khamisi kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo. Pia Rais Mwinyi ameteua Balozi Amina Salum Ali kuwa mwenyekiti wa bodi ya Takwimu Zanzibar. Salma Haji Saadat ameteuliwa kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa madrasa ahukumiwa miaka 80 jela kwa kumbaka binti wa miaka 15

    Mahakama ya mkoa Mwera imemhukumu Mussa Nassibu Ismail (21) ambaye ni Mwalimu wa madrasa Kiboje wilaya ya Kati, mkoa wa Kusini Unguja kutumikia miaka 80 jela na faini ya shilingi milioni 3 kwa kosa la kushindwa kujizuia matamanio yake na kumbaka na kumtorosha mtoto wa kike mwenye miaka 15...
  3. JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza Zanzibar amekiuka kumpongeza mshindi wa urais Zambia. Zanzibar sio dola huru mbele ya uso wa kimataifa

    Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa. Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano. Kitendo cha...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tanganyika na Uhuru wa Zanzibar

    Nimewasikia watu wakisema yafuatayo kuhusu Zanzibar: 1. Zanzibar inapaswa kupata uhuru kamili kutoka kwenye utawala wa Tanganyika. 2. Tanganyika ipate Katiba yake. Ninachojiuliza ni kuwa Zanzibar itakuwaje nchi huru kamili ndani ya Muungano? Nchi zikiungana si kila moja zinapoteza sehemu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuwekeza Zanzibar

    Habari mdau! Nina Tamani sana kuwekeza Zanzibar. Nahitaji mawazo na ushauri kwa waoifaham vizuri. Pros and Cons Upatikanaji ardhi(beach Au inland) Service Demands Challenges. Nitashukuru sana.
  6. JamiiForums Tanzania Planning Officer at Zanzibar University

    Zanzibar University invites job applications from suitably qualified and competent Tanzanians to fill the following posts: PLANNING OFFICER (1 Post) Qualifications An applicant must possess at least Master of Planning, Economics, Statistics or other related field Good command of written and...
  7. JamiiForums Tanzania Kadi chanjo ya COVID-19 kulipiwa Sh 20,000 Zanzibar

    Unguja. Wakati idadi ya watu waliopata chanjo ya corona Pemba na Unguja ikifikia 10,000, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema waliochanja na kukamilisha dozi zao watapewa kadi maalumu kwa kulipia Sh20,000. Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Nassor Ahmed Mazrui...
  8. JamiiForums Tanzania Kesi 678 za Dawa za Kulevya zashikiliwa Zanzibar

    Na Abubakari Akida,MOHA Jumla ya Kesi 678 za Dawa za Kulevya zimekamatwa na Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya katika kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2018 mpaka Agosti mwaka 2021 huku jamii ikiaswa kutambua dawa za kulevya ni uhalifu kama uhalifu mwingine ili...
  9. JamiiForums Tanzania Watu 15 wafariki huku 24 wakilazwa hospitali sababu ya Corona Zanzibar

    Watu 15 wamefariki na wengine 24 wamelazwa hospitali wakiendelea kupata matibabu kutokana na virusi vya ugonjwa wa Corona Zanzibar. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mhe Nassor Ahmed Mazrui wakati akitoa takwimu za ugonjwa wa Corona kuanzia Juni 25 hadi Agosti 10. Waziri Mazrui...
  10. JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 9,000 wamepata chanjo, hakuna madhara yaliyoripotiwa

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokana na chanjo za #COVID19. Tangu kuanza kwa zoezi la utoaji chanjo zaidi ya watu 9,000 wamepatiwa chanjo hadi sasa. Zoezi la utoaji chanjo linaendelea bara na visiwani kwa hiyari.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi; Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu. Sasa anatafute 7.5 billion za...
  12. JamiiForums Tanzania Nini hasa chanzo cha vurugu za mwaka 2001 kule Zanzibar?

    Wakuu wa jukwaa hili, sisi vijana wenu tunaomba mtujuze ni nini hasa kilijiri mpaka kukatokea vurugu kubwa hasa kule visiwani mwaka 2001 na kupelekea wengine kupoteza maisha! Natanguliza shukrani...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kamati kuu ya CCM ilikaa kwa dharura kujadili kauli ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar

    Kauli aliyotoa Makamu wa kwanza wa Rais alipokuwa Pemba ilikuwa kauli nzito iliyoashiria kuvunjika kwa mashirikiano yaliyopo. Kauli ile ilieleza wazi dhamira yake ya kutoendelea na madaraka kwenye kundi la watu wasioridhika na ambao hawana uchungu na watu kufa, kuwa vilema nk. Alihoji watu...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar kupo ovyo sana. Kweli au nahitaji kueleweshwa?

    Nimetembelea huu mji, kwa kweli ni mji ambao bado watu wamelala, migahawa ya kumulika kwa tochi vyakula havieleweki, nimeenda hadi forodhani yaani nyama za pale bei juu alafu hazina mvuto yaani rafu rafu tu. Barabara za lami kama wamemwaga zege yaani, mainjinia sijui wameajiriwa kwa kazi gani...
  15. JamiiForums Tanzania Posta Tantrade watoa mafunzo ya mifumo ya biashara mtandaoni Zanzibar

    Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na TanTrade wametoa Mafunzo ya Mifumo ya Biashara mtandaoni kwa Wafanya Biashara pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kibiashara Visiwani Zanzibar. Mifumo iliyofundishwa ni Mfumo wa Duka mtandao (Shirika la Posta), Mfumo wa Information Portal...
  16. JamiiForums Tanzania Soka la Zanzibar lazidi vituko, timu yashinda 50-0, nyingine 46-0 zikiwania kupanda daraja la kwanza

    Na @abubakarkisandu Zanzibar. Jana katika Michezo ya mwisho ya kuitafuta timu moja itakayopanda Daraja la Kwanza Kanda Unguja kutoka Ligi ya Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Mchezo nambari 113 ulichezwa katika Uwanja wa Mau B timu ya Umoja wa Mbuzini ilishinda jumla ya mabao 50-0 dhidi ya New...
  17. JamiiForums Tanzania Utabiri: Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar haitofika Oktoba 2021

    Kwa matamko na kauli zinazoendelea kutoka ACT Wazalendo na ukilinganisha na tabia ya kiburi ya CCM naona kabisa ndani ya siku sitini kila moja atabeba chake huko Unguja. ACT Wazalendo wakikaa kikao kwa vyovyote vile watamtaka Mwinyi ajieleze na kwa uCCM ulivyo, wakina Mwinyi watawabeza ndipo...
  18. JamiiForums Tanzania Waandaaji Zanzibar International Marathon mlikwama wapi?

    Twende kwenye mada moja kwa moja. Kwanza nawapongeza kwa hatua nyingine baada ya miaka zaidi ya kumi na kenda ya kupotea kwa mbio hizo na mwaka huu kuamua kuzirudisha kwa nguvu. Unapozipa mbio jina la International ina maana unategemea kuwa tofauti na zile za kina Goba, Meru, sijui Ushoroba nk...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwa matamshi haya kuhusiana na uchaguzi mdogo huko Zanzibar, Makamu wa Raisi Zanzibar kutoka ACT-Wazalenido kujiuzulu wakati wowote?

    Haya kumekucha huko Zanzibar
  20. JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani?

    Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…