zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefafanua suala la eneo lililopo Makurunge Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amesema “Eneo linaitwa Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo...
  2. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa Muungano naomba ufafanuzi katika hili

    Maoni yenu wadau, Wajuzi wa muungano mimi hapa sijaelewa naomba ufafanuzi kidogo, Tanzania ni muunganiko wa ( tanganyika na zanzibar ) iweje zanzibar wana .... arafu tanganyika wapo empty, huu muungano ulikuwaje??????? Maana hapa inakuwa Tanzania na zanzibar inainyonya tanganyika katika huu...
  3. JamiiForums Tanzania Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

    Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah! *********** ************** Update Ndege imetoka Zanzibar sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Amaan Zanzibar wakaguliwa maandalizi ya AFCON 2027

    Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Kenya Uganda na Tanzania kuhusu utayari wao wa kuwa wenyeji AFCON 2027, leo hii Julai 31, 2023 wapo Zanzibar ambapo wamekagua Uwanja wa Amaan, hospitali ya Mnazi Moja, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume pamoja na viwanja vingine vya mazoezi...
  5. JamiiForums Tanzania KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Huu Muungano ni chenga kabisa una kero nyingi mno, naona kwa Zanzibar wao ni raha kwenda mbele. Sisi wote ni Watanzania lakini ajabu Mtanganyika akienda Zanzibar endapo atahitaji kuendesha gari basi atatakiwa kuomba kibali maalum kinachotolewa na mamlaka za huko, vinginevyo utakuwa unavunja...
  6. JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Tumeambiwa Bunge la Katiba linarejea septemba mwaka huu, Zanzibar yenye mamlaka kamili yanukia

    Mhe. Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha...
  7. JamiiForums Tanzania Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY === Kamishna wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Nassor Mazrui: Hospitali zote za Zanzibar kupewa Sekta Binafsi waziendeshe

    Akiongea na Wandishi wa habari Waziri wa Afya Nassor Mazirui (ACT wazalendo) amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ipo kwenye mchakato wa kubinafsisha Hospitali zote za Zanzibar ile ziweze kuendeshwa na watu binafsi kuleta tija. Ikumbukwe tayari mpango huu umeshaanza kutekelezwa hasa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar haiwezi kushitaki au kushitakiwa kwenye mahakama/mabaraza ya Kimataifa

    Kwanza kabisa ili kuweza kuelewa dhana hii kwa ufasaha, ni LAZIMA upate fursa japo kwa uchache kusoma nyaraka zifuatazo 1. Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977(The Constitution of the United Republic of Tanzania,1977) 2. Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, toleo 2010(...
  10. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Uhamiaji makao Makuu hawajalipia huduma ya simu hivyo kuwapata haiwezekani na ofisi ya Zanzibar simu hawapokei

    Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Nakunako Zanzibar ndugu zetu simu hawapokei, sijui ni njia gani nyengine ya kuwapata hawa mabwana. Sitaki kuzungumzia email
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Babu nimechoka kukariri nataka kuuelewa Muungano

    Shikamoo Babu. Babu nimesoma katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ibara ya 2A inasema "Zanzibar ni miongoni mwa nchi mbili zinazounda jamhuri ya muungano wa Tanzania". Kweli naiona Zanzibar ipo kama nchi maana ina Rais wake, katiba na bendera yake. Nchi ya pili ambayo ni sehemu ya muungano hapa...
  12. JamiiForums Tanzania TAMWA ZANZIBAR requests political parties to support the efforts of women who have the intention to participate in leadership roles

    The Tanzania Media Women's Association, Zanzibar (TAMWA-ZNZ), urges women to remain steadfast in their attempt to vie for political leadership position, overcoming any possible challenges that women often face when entering leadership positions to increase their participation in decision-making...
  13. JamiiForums Tanzania TAMWA Zanzibar yaomba vyama vya Siasa kuunga mkono wanawake wenye nia ya kushiriki katika uongozi

    CHAMA cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kinawataka Wanawake kuwa wajasiri na kujitayarisha kiuongozi bila kuogopa changamoto zinazowakabili wanawake wanapoingia katika uongozi ili kuongeza ushiriki wao kwenye vyombo vya maamuzi. Idadi ndogo ya wanawake katika...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania, Zanzibar zasaini Hati ya Makubaliano Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar hongereni kwa kuipa heshima Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa ni Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar “Mwaka Mpya wa Kiislamu ni siku muhimu katika kalenda ya Kiislamu duniani kote”. “Siku hii huadhimishwa kila mwaka kwa kumbukumbu ya Hijra...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kutumia huduma za Startlink

    Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko? --- Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Maulid Mwita aomba radhi na kutengua kauli ya katibu mtendaji wa baraza la sanaa juu ya kulipa 1,000,000 kupata kibali cha mwanaume kusuka

    HABARI Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita, ameomba radhi na kutengua kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar, Dkt Omar Adam ya kwamba mwanaume yeyote anayetaka kusuka visiwani humo itambidi alipie...
  18. JamiiForums Tanzania Ni desturi kwa Waswahili kusuka nywele bila kujali jinsia zao, kwanini Zanzibar wanakataza wanaume kusuka?

    Nimesikia Zanzibar mwanaume ukikutwa umesuka nywele unapigwa faini. Wanadai ili kulinda maadili na utamaduni wa Mzanzibari. Lakini wakati huo huo utamaduni wa Mzanzibar, kama ulivyo kwa Waswahili wote ilikuwa ni ruhusa kwa mwanaume na mwanamke kusuka nywele. Naona hawa wanaodai kulinda utamaduni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Muungano ni kati ya nchi ya Tanganyika na Zanzibar, kama Zanzibar ipo Tanganyika ipo wapi?

    Mwaka 1964 nchi ya Tanganyika iliungana na nchi ya Zanzibar na kuzaa nchi ya Tanzania. Nilitarajia muungano ule ungezifuta nchi zote mbili yaani nchi ya Zanzibar na nchi ya Tanganyika ili kuwe na nchi moja tu ya Tanzania. Kinachoshangaza kwa muungano huu ni uwepo wa nchi ya Zanzibar na kutoweka...
  20. JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Dubai sio nchi kama ilivyo Zanzibar hivyo haiwezi kuingia mkataba na nchi nyingine

    Wakili Madeleka amesema yapo mambo ambayo yanashughulikiwana muungano wa falme za Kiarabu na yapo mambo yanashughulikiwa 'individual emirate' Madeleka ametolea mfano wa Zanzibar isivyoweza kusain mktaba na Kenya, kuchukua mkopo japokuwa inae Rais. Madeleka amesema Zanzibar haina ubalozi popote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…