zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Dkt. Ndumbaro - Zaidi ya Asilimia 50 ya Watanzania Hawaifahamu Katiba

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - ZAIDI YA ASILIMIA 50 YA WATANZANIA HAWAIFAHAMU KATIBA, ELIMU YA KATIBA KUTOLEWA KWA MIAKA MITATU "Kuna tafiti kadhaa zimefanyika na kubaini zaidi ya asilimia 50 ya Watanzania hawaifahamu katiba na wengine wanasema hata hawajawahi kuiona hiyo katiba, hatari yake ni...
  2. Waziri Dkt. Ndumbaro - Zaidi ya Wananchi 250,000 Wamefikiwa na Mama Samia Legal Aid Campaign

    WAZIRI DKT. NDUMBARO - ZAIDI YA WANANCHI 250,000 WAMEFIKIWA NA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika utekelezaji wa kampeni inayolenga kutoa msaada na elimu ya kisheria kwa wananchi hasa waishio pembezoni, zaidi ya wananchi 250,000...
  3. S

    Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

    Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Kashifa...
  4. S

    Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

    Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja? Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
  5. Mwamba huyu amesema haoi mwanamke mwingine zaidi ya Bikra, je wewe?

    Kumbe mabikra bado wapo? Kwenye huu ulimwengu wa social medias na uzinzi na talaka na makasiriko Sasa mwamba hapa anasema mwanamke mwingine haoi lazima awe Bikra Safi ( brand new) hata akiwa na Miaka 50 anatoa
  6. M

    Kama huu mkataba (IGA) ulikuwepo zaidi ya mwaka, HGA pia ipo zaidi ya mwaka sasa, kinachofanyika ni maandalizi muafaka ili uanze HGA iingie kazini!

    Kuna hoja dhaifu kuwa kwa kuwa IGA katika mkataba wa bandari una matatizo, basi tuje tuwe macho kwenye maandalizi ya HGA ili yale madhaifu ya kwenye IGA yarekebishwe na HGA. Kwanza kwa faida ya baadhi yetu ni kwamba HGA (Host Government Agreement) ni makubaliano ya msingi kati ya mwekezaji wa...
  7. Kwanini Wahindi hawana mke zaidi ya mmoja?

    Nimefanya utafiti kwenye familia 600 za Kihindi lakini hamna hata moja yenye wake wawili. Nimejaribu kuuliza lakini sijapata jibu. Wiki ijayo nitakutana na Balozi wa India nitamuuliza hili swali, nitawaletea mrejesho hapa.
  8. Serikali: Filamu ya Royal Tour imetazamwa na watu zaidi ya bilioni moja duniani

    Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa filamu ya Royal Tour ambayo mpaka sasa imetazamwa na watu Bilioni 1 duniani. Chanzo: Clouds Media
  9. JKCI: Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo

    Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo kupitia huduma ya tiba mkoba ijulikanayo kama Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services inayofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete...
  10. Polisi wetu nyie mna nchi zaidi ya Tanzania?

    Mwalimu Nyerere alipigania Uhuru aikomboe Tanganyika iwe nchi huru kiuchumi, kisiasa, kijamii na kifikra. Wananchi wawe huru kutoa mawazo. Wananchi wawe huru kuikosoa serikali na kuwa wazalendo wa kutetea raslimali za nchi. Wanaopinga uovu wa mikataba tunayoingia wanatutetea sisi sote mkiwepo...
  11. Faida za kuoa mke zaidi ya mmoja katika jamii yetu kwa wanaume na wanawake

    Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja 01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara 02. Kuongezeka kwa uchumi na kukua maendeleo katika jamii ,hili jambo linatokana na baraka kutoka kwa Mungu wetu tutapowastiri...
  12. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu: Watoto njiti zaidi ya laki mbili Nchini huzaliwa kwa mwaka

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amebainisha kuwa takriban watoto laki Mbili mpaka laki Tatu kwa Mwaka huzaliwa kabla ya muda (watoto njiti) Tanzania. Waziri Ummy amesema hayo katika ofisi ndogo za Wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuelekea awamu ya pili ya ugawaji wa vifaa...
  13. W

    Muda si mrefu dada zetu watahitaji mume zaidi ya mmoja ili angalau kukidhi haja ya tendo!!

    1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu. Kama unabisha angalia videos nyingi za wanamuziki wa sasa. Kiufupi ni kuwa tunatamani kuwa wanawake kama alivyowahi kukiri Mpwayungu Village. Kwakuwa 'you are what you think' basi hali hii kwa kasi...
  14. Kwa tulipofikia mikutano ya siasa kwa nchi yetu haina tija zaidi ya kucharuana tu! Pigeni marufuku hii mikutano uchwara!

    Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa! Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii...
  15. K

    Kwanini Pemba iko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na Unguja?

    Najiuliza je sababu ya Pemba kuwa nyuma kimaendeleo ni kwamba ni mbali sana na kisiwa cha Unguja ambacho ndiyo makao makuu ya serikali ya visiwa hivyo viwili. Pemba ipo zaidi ya km 130 na ipo karibu na Tanga kuliko Unguja. Je, kwa kuleta maendeleo Pemba ni sababu gani hasa inayozuia mpaka leo...
  16. Naitabiria Yanga mafanikio zaidi ya Simba msimu wa 2023-2024

    Kuna dalili mbaya toka pre-season hadi jana kwenye Simba Day nimeshaaza kuziona zinazoashiria kuwa Simba inaenda kuwa na msimu mbaya sana. 1. Tukirudi nyuma mwishoni mwa msimu uliopita, kipa Aishi Manula aliumia na kwa sababu za kijinga kabisa Beno Kakolanya, kipa mwenye uwezo akawa anakaa...
  17. Pakistan: Treni ya Abiria yaacha njia na kuua watu zaidi ya 30

    Takriban watu 30 wamefariki dunia na wengine 100 kujeruhiwa baada ya Treni kuacha njia kusini mwa Pakistan, msemaji wa polisi amethibitisha. Mabehewa kadhaa ya Hazara Express yalipinduka karibu na kituo cha reli cha Sahara huko Nawabshah, takriban kilomita 275 (maili 171) kutoka mji mkubwa...
  18. Upinzani tulizeni akili, 2025 mnachukua nchi. CCM hawana cha kutuambia zaidi ya miradi ya Magufuli

    Nina amini kwamba CCM hii imechoka Imechokwa CCM hii na Ile ya awamu ya nne ni baba mmoja mama mmoja. kila kona ya nchi wananchi wanalalamika bidhaa kupanda bei. Hakuna mtu wa kuwatetea. kiongozi mkuu ndo kabisa kachokwa ni vile nidhamu inawaongoza Watanzania. Lakini wanatamani hata kumpigia...
  19. Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  20. Kamari imekua zaidi ya cocaine!

    Habari zenu wakuu!!? Binafsi Mimi kama Mimi hii michezo ya kubahatisha sijawahi jaribu tangu mtoto! Zamani kipindi Niko nyokaa chuga huku nilikuwaga napewa tu shilingi 50 nikachenchi,nikiwaletea makachala chenchi wananipa Lile li shilingi Tano kubwa nanua ngubiti Wao wanaendelea na kamari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…