zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Ila kiuhalisia unampaje mtu zaidi ya 5000 kwa ajili ya short time.?

    Hii ni hujuma vijana wa kileo wanayofanyiwa kwa kubabaika na muonekano ili kiuhalisia bado huo ni mlupo na pochi aliyonayo ni hio hio hata zubeda wa silimang'ombe ndani ndani anayo. Kitendo ambacho asilimia 85 ya vijana hawawezi kuvuka hata dakika 2 ndio mtu analipishwa 10k, 20k, hadi 50k.
  2. Pawepo na Kampuni ya Vijana Ujenzi Taifa: Vijana wataajiriwa zaidi ya 5,000,000 nchi zima

    Habari Tanzania ! Napenda kuleta wazo hasa kwa Serikali Tanzania na Vijana wa Tanzania endapo ikiwapendeza. Tuanzishe taasisi ya Vijana Ujenzi Taifa; waajiriwe vijana wenye nia na kutumika kwenye sekta ya ujenzi Taifa. Itungwe Sheria ya usimamizi miundombinu na ujenzi majengo Taifa. Pia...
  3. Maria Sarungi Tsehai: Treni ya SGR inahujumiwa. Yaharibika usiku huu Ruvu Station, abiria wanatembea zaidi ya 6KM kupata usafiri mbadala..!!

    SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi! LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna Treni inakuja kuwachukua. Wataanza na abiria wa VIP—abiria wametembea zaidi ya KILOMITA 6 hakuna...
  4. Kwa kitendo hiki cha kigaidi kilichofanywa na Polisi, Tanzania lmekuwa zaidi ya Somalia

    Tanzania lmekuwa zaidi ya somalia na al shabab hebu fikiria watu wanateka hadi maiti hospital sijawai kuona ugaidi kama huu hapo kwanza. Mimi sijawai kuona kikundi cha kigaidi kikiteka maiti hospital, kwa taarifa za kuaminika police walipeka maiti hospital October 29 kisha wakaziteka na...
  5. Tanzania sasa ni zaidi ya somalia

    Huko Mwanza kuna taarifa watekaji wameteka familia ikiwemo watoto miaka mitano baada ya kumkosa mlengwa mamayao
  6. PostGE2025 ‘Ulipata’ kura zaidi ya milioni 31 lakini leo umejificha

    Maajabu ya Samia hayo! Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31. Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa. Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake. Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru. Ni siku...
  7. KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  8. Zaidi ya kuiangusha CCM, nini jibu la matatizo yetu?

    Huwa nasikia watu wakilalamika na kutuhumu wakoloni kwa kutuletea matatizo. Hata hivyo, tukiwa wakweli, mengi ya matatizo yetu yamesababishwa na watawala wetu uchwara na waroho. Wakoloni waliondoka miaka zaidi ya 60 iliyopita. Ajabu, bado tunawafuata na kuomba mikopo na misaada toka kwao...
  9. M

    PostGE2025 Ni nani katoa kibali kwa hii website kutengenezwa inayoonyesha picha na videos zaidi ya 600 za machafuko?

    Idara zetu zipo makini kweli ? nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ? Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ? https://tanzaniamassacre.org/Massacre Hii sio sawa...
  10. Wapelestina zaidi ya 70,000 wameuwawa gaza kwa miaka lakini watanzania wameuwawa October 29 zaidi ya 10k kwa siku tatu sasa piga hapo kwa mwaka mmoja

    Wapalestina zaidi ya 70,000 wameuwawa gaza kwa miaka lakini watanzania wameuwawa October 29 zaidi ya 10k kwa siku tatu sasa piga hapo kwa mwaka mmoja. Viongozi wajinga wanauwa taifa letu. ni zaidi ya vita vya israel na Palestina
  11. Q

    AU haitashirikiana na serikali ya Guinea-Bissau ambayo haijaua hata mtu mmoja. Serikali ya Samia imeua watu zaidi ya elf 10, alafu AU ipo kimya.

    Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha nchi ya Guinea Bissau kushiriki katika shughuli zake zote, siku mbili baada ya jeshi kumpindua Rais Umaro Sissoco Embaló. Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amethibitisha kusimamishwa huko, akisema hatua hiyo inachukuliwa kufuatia ukiukaji wa...
  12. Nanauka achana na hiyo njia ya maigizo ya kisiasa kupata attention ya vijana

    Kupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya. Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana...
  13. Jumuiya za kimataifa haziwezi kufanya chochote dhidi ya serikali dhalimu zaidi ya matamko na vikwazo ambavyo madhara yanarudi kwa Wananchi

    Moja kwa moja. Kiuhalisia umoja wa mataifa na Jumuiya nyingine za kimataifa hakuna la maana wanalofanya katika kuwasaidia Wananchi wa kawaida katika mateso na manyanyaso kutoka kwa serikali zao na viongozi dhalimu . Mifano ipo mingi sana ila nimeweka michache hapo chini 👇⬇️ 1. Iraq chini ya...
  14. PostGE2025 Tumetumia excessive force kusababisha vifo zaidi ya 800, je isingetumika excessive force madhara yangekuwaje?

    Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage. Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu? Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini...
  15. R

    GE2025 Video: Coaster zaidi ya 100 kwenda Moshi kuzika wanaodaiwa kuuawa wakati wa uchaguzi

    Wakuu, Hii Serikali ya Samia ijitafakari sana, mpaka sasa ndugu zetu wengi walipoteza maisha kwenye Maandamano ya Oktoba 29 na idadi bado haijakamilika maana wengine ndo miili inachukuliwa na hao wanaharamu kuzikwa kusikojulikana ili wapoteze ushahidi moyo wangu unavuja damu, vijana wadogo...
  16. Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

    Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
  17. Mange Kimambi kukamatwa hapana, lipo kubwa zaidi ya kukamatwa

    Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua! Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe...
  18. Tujipongeze sana Vijana tulioandamana , Wakati alipouliwa Mmoja wetu, tulisonga mbele, Hii Spirit ni zaidi ya Enzi za Uhuru, Mapambano yanaendelea

    Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea. Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao, Watoto,Ndugu, Rafiki na Jamaa. Nilishuhudia Jamaa yangu Ubongo unamwagika 'Mpaka Leo Sijui ni aina gani ya...
  19. GE2025 Kuwafungia watu ndani na kuwazimia internet ni zaidi ya ukatili

    Mara zote nimekuwa nikiwashauri baadhi ya wanasiasa kwamba, watanzania wa miaka ya 90 sio hawa wa miaka ya 2000. Watanzania wa sasa wamekula 'matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya.' Mema wanayajua na mabaya wanayajua. Hawa wa sasa sio watanzania wa kanga na chumvi. Wala sio wa kurubuniwa...
  20. Kwa hali ya kawaida: Hivi mtu unawezaje kuiba zaidi ya Bilioni 100?

    Yaani kwa umri wangu huu wa miaka labda 40; hizo Bilioni 100 za uwizi zanifaa nini haswa? Kwasababu hizi fedha hata kwa kuzila haziishi. Na mbaya zaidi: unakuta kwamba mtu anafanya wizi; anadhulumu haki za watu wengine kupata huduma, imagine hiyo ingewapa wanafunzi wangapi mikopo ya elimu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…