za ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Content creation: Ujuzi muhimu wa kukuza biashara na kutengeneza fursa za ajira

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali, Content Creation imekuwa moja ya ujuzi muhimu kwa wafanyabiashara, wajasiriamali, kampuni na vijana wanaotafuta fursa za kipato. Content Creation ni mchakato wa kutengeneza maudhui yenye thamani kwa ajili ya kuwafikia, kuwafundisha, kuwaburudisha na...
  2. Bandari Mbamba Bay yafungua fursa za ajira, biashara

    Ajira, ujuzi wa ufundi na kuimarika kwa biashara ndogo ni miongoni mwa fursa ambazo wananchi wameanza kupata kutokana na ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay, wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma, ambao umefikia asilimia 78. Baadhi ya vijana wanaoshiriki ujenzi huo wamesema wamepata kipato cha kuendesha...
  3. V

    Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

    Chuo husika kimetangaza nafasi nyingi za kazi kwa ufupi wametangaza nafasi za staff nzima (kilingana na ukubwa wa chuo tunavyoufahamu) Je,staff nzima imeondoka kisa ugumu wa kazi na mishahara? Je,wamepata waendeshaji wapya?, je wamebadirisha namuna ya uendeshaji? Je, hawakuwa na staff imara...
  4. V

    Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

    Chuo husika kimetangaza nafasi nyingi za kazi kwa ufupi wametangaza nafasi za staff nzima (kilingana na ukubwa wa chuo tunavyoufahamu) Je,staff nzima imeondoka kisa ugumu wa kazi na mishahara? Je,wamepata waendeshaji wapya?, je wamebadirisha namuna ya uendeshaji? Je, hawakuwa na staff imara...
  5. KAMPUNI YA ALMASI YATOA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA WAZAWA 61 MKUTANO WA IPU

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Almasi, Gift Ngowi, amesema kampuni hiyo imepata fursa ya kushiriki katika utoaji wa huduma za picha, video, kurekodi na kurusha mubashara shughuli mbalimbali za Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika jijini Arusha. Ngowi amesema kampuni hiyo ilipata...
  6. Nafasi Mpya za Ajira 4,500 Zaja kwa Watanzania

    Tunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa ajili ya Watanzania ambazo ziko katika hatua za mwisho za kukamilisha taratibu. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano ndiyo inaratibu zoezi zima kwa kushirikiana na wizara za kisekta ikiwemo ya Mambo ya Ndani pamoja na ile ya Mambo ya Nje na...
  7. A

    HOJA Usaili wa ajira za Tanzania: Je, Waombaji wanapewa nafasi ya kweli kushindana au ni geresha?

    Ninaandika makala hii si kwa sababu nimekosa kazi, wala si kwa sababu nina malalamiko binafsi dhidi ya Benjamin Mkapa Hospital (BMH). Ninaandika kwa sababu nilishiriki katika mchakato wa ajira wa Hospitali ya Benjamin Mkapa na nikakutana na baadhi ya matukio ambayo, kwa mtazamo wangu, yanazua...
  8. A

    KERO Kozi ya 'Community Development for Water Supply and Sanitation' kwanini fursa zake za ajira haziwekwi wazi?

    Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu kozi ya Community Development for Water Supply and Sanitation (CDWSS) inayotolewa na Chuo cha Maji (Water Institute) chini wa Wizara ya Maji. Kozi hii ni specific kwenye sekta ya Maji na usafi wa mazingira lakini cha kusikitisha, hakuna utaratibu wa wazi...
  9. Idadi ya watu vs Fursa za ajira

  10. 🎓🔥 NAFASI ZA AJIRA: LECTURER & ASSISTANT LECTURER – MOROGORO

    Una taaluma ya kufundisha katika elimu ya juu? Kuna nafasi mpya za Lecturer na Assistant Lecturer zilizotangazwa Morogoro. Hii ni fursa nzuri kwa wataalamu wanaotaka kuendeleza taaluma yao katika ufundishaji, research, publications na consultancy. 👨‍🏫 LECTURER Majukumu makuu ni pamoja na: ✅...
  11. Fursa za ajira kwa wahitimu wa taaluma za mafuta na gesi Tanzania

    📢 FURSA ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA TAALUMA ZA MAFUTA NA GESI TANZANIA 🇹🇿 EQUINOR GRADUATE PROGRAMME 2027 – NORWAY 🇳🇴 Equinor inapokea maombi ya kujiunga na programu yake ya wahitimu ya miaka miwili. Programu hii inatoa uzoefu wa kazi, mafunzo ya kitaalamu, ushauri kutoka kwa wataalamu pamoja na...
  12. Nafasi za ajira - Kampuni yangu

    Habari wadau wa JF, Mimi ni mdau mwenzenu ambaye nimekuwa sehemu ya jukwaa hili kwa muda mrefu. Kupitia JF nimejifunza mambo mengi, nimeongeza maarifa na ujuzi muhimu, na pia nimepata fursa zilizonisaidia kujikwamua kiuchumi. Vilevile, mijadala na simulizi mbalimbali zinazoshirikishwa hapa...
  13. L

    Maonesho ya ajira kati ya China na Tanzania yawaunganisha vijana na fursa za ajira

    Katika siku iliyojawa na hamasa, mamia ya vijana wa Kitanzania walimiminika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika mji wa kibiashara wa Tanzania. Walikusanyika kwa ajili ya Maonesho ya tano ya Ajira kati ya China na Tanzania, yaliyofanyika kwa siku moja nzima na kuwakutanisha watafuta ajira...
  14. Msaada wa Maombi ya Ajira, Vyuo na Mikopo

    HII NDIO LIST YA HUDUMA UTAKAZOPATA KWETU HUDUMA KATIKA MASUALA YA AJIRA 1. KUJISAJILI AJIRAPORTAL 2. KUJISAJILI TAESA 3. KUJISAJILI KATIKA BANK PORTALS 4. KUANDAA APPLICATION LETTER 5. KU EDIT DOCUMENT MBALIMBALI 6. AVN 7. TRANSCRIPT HUDUMA KATIKA MASUALA YA VYETI 1. KUPATA CHETI CHA...
  15. Ahadi za Ajira kwa Watoto: Mtego au Fursa?

    Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi #NeverAgain
  16. T

    Utatuzi changamoto za ajira portal nk kama kusahau password, kusahau email nk

    personally kama una changamoto tuwasiliane kupitia 0792715343
  17. A

    KERO Wahitimu wa ‘Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa’ hatuoni nafasi zetu za ajira Serikalini

    Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma. Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi...
  18. T

    Nafasi mpya za ajira kwa walimu daraja la IIIC na nyingine ajira portal LEO

    Kwa wenye changamoto za ajira portal kama kusahau password, kusahau email NK wasiliana kwa 0623446608
  19. T

    Utatuzi changamoto za ajira portal, nssf portal nk

    Kama una changamoto kama kusahau password,email na kutengeneza akaunti kwa mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL,LOAN BOARD, NK Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
  20. W

    GE2025 Wagombea wasiishie tu kutoa ahadi za Ajira kwa vijana Uchaguzi 2025. Je watalitekelezaje hili?

    Miaka nenda miaka rudi kila mgombea akiwa ananadi sera zake wanatumia tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana iliw achaguliwe. Lakini viongozi hawahawa tukishawapeleka bungeni ndo wanaorudi na kusema "Vijana mjiajiri serikali haiwezi kuajiri kila mtu." Wananchi tunaposikiliza tunatakiwa kuuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…