yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. Leo nimeona clip ya Rah-P akiwa anarap wakati yupo shule ya sekondari. Sijui huyu dada mkubwa yuko wapi siku hizi

    https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s. Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko. Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc...
  2. Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

    Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu. Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
  3. KERO Kivuko cha Busisi- Kigongo hakina ferry zote ni mbovu. Wananchi wanataabika. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ingilia kati suala hili

    Hizi ni habari za muda huu. Tunaomba Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Ntanda uingilie kati. Wasafiri wanataabika sana.
  4. Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

    Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA. Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
  5. Shetani yupo kwenye kampeni

    Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela Leo nilikuwa nausikiliza wimbo ya Bahati bukuku KAMPENI, na humo ndani anasema kwamba shetani Yuko kwenye kampeni. Hajakosea Ni kweli shetani Yuko kwenye kampeni lakini je katika hiyo kampeni anashindana na Nani? Hapa jibu Wala halihitaji elimu ya...
  6. S

    Haji Manara Yuko Wasafi FM, Ally Kamwe kaenda Crown FM kwa hasimu wa Haji Jemedari Said, Yanga is very unprofessional

    Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi wa Yanga akiwa na wapambe wake wameingilia Crown FM ambayo Manara hawezi kwenda kwa sababu Yuko...
  7. Yuko wapi aliyekuwa kiungo mshambuliaji hayari wa Simba Chama?

    Wakuu Chama ni mmoja wa viungo washambuliaji hatari wanaotajwa kuwahi kutokea katika historia ya ligi yetu. Huyu mwamba amepotekea wapi? Kipaji chake kilifanya wafau wa michezo na mashabiki wa Simba sc wamuimbe kila uchwao. Je! Nini kimemkuta? Ligi inaelekea mzunguko wa pili sasa hasikiki...
  8. G

    Jamaa alioa Manyara, Dodoma na Singida ndoa chali, sasa yuko kijiweni analalamika kama mwehu

    Wakuu, Huyu rafiki yetu tumwite G , ni mtu mzima around 54, yaliyomkuta hapa anahadithia kama Hana akili. Ndoa zote tatu chali cha mende lakini anacholalamikia ni mambo kadhaa 1. Kasema wanawake wote hao Wana usaliti wa chinichini na wazi 2. Tamaa kwa wanawake zake wote alioachana nao 3...
  9. R

    Msanii "Pasha" kwa sasa yuko wapi?

    Hello.. Nilikua kwenye pitapita zangu nikakuta sehemu zinapigwa ngoma za zamani za bongo fleva.. Ghafla ikapigwa ngoma ya namuimbia ya Pasha aiseeh ilinisafirisha mbali sana kihisia huyu mwamba yuko wapi kwa sasa?.. Alikua amekamilika kuanzia vocal mpaka uandishi.. Kwenye hii ngoma ilipigwa biti...
  10. Lissu yuko vema

    TAL anahaki ya kugombea. Lakini nawaibia siri kwamba akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea nafasi ya umakamu na agombee nafasi ya Mwenyekiti. Na ndio maana unakuta TAL kama anakitu kinafukuta moyoni. Kama ni kuleta mabadiliko atayaleta hata akiwa mjumbe au...
  11. M

    Yuko wapi Sioi Sumary aliekuwa mkwe wa marehemu Lowassa?

    Wasalamu Kama uzi unavyouliza yuko wapi huyu bwana sioi sumary mkwe wa marehemu lowassa maana siku hizi haonekani na wala kwenye msiba wa mkwewe sikumuona kwenye familia ya wafiwa.
  12. Kwanini tuabudie miungu ya wengine Mungu wetu yupi?

    Allah ni muungu wa waarabu Yehova ni muungu wa waisraeli wanaochangia na wazungu ili nao waonekane wazungu na si waarabu kama ilivyo asili yao. Buddha ni muungu wa wahindu, Je sisi Waafrika Mungu wetu ni yupi?
  13. D

    Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  14. Dr Willbrod Slaa alikua sahihi na yuko sahihi mpaka kesho

    Wasalaam. Kufuatia kushupaza shingo kwa bwana mbowe na kuamua kugombea uenyekiti wa chadema licha ya familia yake na wazee wenye busara kumsihi asigombee nimekumbuka maneno ya Dr slaa aliposema mbowe na genge lake ni wachumia matumbo na hawapo pale kwa ajili ya kupigania haki, uhuru na...
  15. D

    Hivi Mbowe, Lema, Sugu na wenje mbali na siasq wanaweza kufanya kazi gani? Lisu naona yuko katika genge la wahuni na zero brains.

    Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania mjue hawa hawaki kwa maslahi yenu bali ni njia ya kujinufaisha wao wenyewe. Uzuri kwa hili...
  16. D

    Kimhemko na kisiasa Makonda yupo sahihi; kitaalamu Mchengerwa Yuko sahihi zaidi!

    Usahihi wa Makonda; Inaweza ikaamsha watendaji kuwahi majukumu yao kwa haraka na kwa wakati.........si mbaya. Usahihi wa Mchengerwa; Desturi hii ikiingia katika akili na damu za watu wetu, ambao wengi wao uelewa wao ni mdogo sana na ambao huchagizwa na mihemko ya kisiasa au kikanda na kikabila...
  17. Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

    Tumpe ushauri huyu dada
  18. Freeman Mbowe yuko wapi?

    Ni miezi sasa inakatika mwenyekiti wa Chadema yuko kimya bila kutoa neno wakati 1. Wagombea wa Chadema wanakatwa nchi nzima 2. Rushwa na pesa chafu zimetapakaa kwenye chaguzi za Chadema 3. Kuna ugomvi mkali kati ya Tundu Lisu na Benson Kigaila 4. Kuna ugomvi mkali kati ya Benson Kigaila na...
  19. Yuko wapi mwanamziki Tabia Mwanjelwa?

    Kwa wakongwe, mnamkumbuka huyu dada enzi akikipiga na Marquiz du Zaire? Yuko wapi kwa sasa?
  20. Bora Kuwa Single Maisha Yangu Yote kuliko kuwa na Mwanamke Ambaye Yuko na Mimi Kinafiki na Hanipendi

    Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke. Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto. Wanawake wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…