young

  1. S

    Young Africans sc klabu ya kwanza Tanzania kumiliki Jengo

    Rejea gazeti la mwananchi.
  2. Kuelekea Derby ya Simba na Young Africans, hebu tuangalie hii tofauti kati Kocha Robertinho na Gamondi

    Kuelekea Mchezo wa Derby ya Kariakoo inayotegemewa kuchezwa jumapili Movembe 5, 2023 Hebu tuangalie Staili ya kucheza ya makocha hawa Miguel Gamondi wa Young Africans na Roberhno wa Simba Tukianza na Kocha Gamondi Staili yake ya kucheza inamvutia shabiki yeyote ambaye anataka kutazama soka...
  3. Young Africans (Yanga) amkeni logo imekaa kizamani sana ibadilishwe

    Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile...
  4. FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

    Al Merrikh ya Sudan wakitumia Uwanja wa Pele Kigali watawaalika Young Africans ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa. Ni mchezo wa aina yake kwani Young Africans imefanikiwa kusafiri kwa kishindo cha mashabiki wengi mpaka jijini Kigali...
  5. Dogo Young Lunya ni nani?

    Ni rapper mkali kwenye game. Ana jina kubwa. Anatoa kazi nzuri sana na ana mashabiki wengi sana hasa vijana wa miaka ya 2000s. But details zake hazijulikani. Haijulikani majina yake halisi anaitwa nani. Ni Mwenyeji wa wapi? Anatokea hood gani? Elimu yake umri wake na kadhalika. Wenye...
  6. W

    Do we have a future if young people are unemployed?

    Approximately 621 young people aged 15-24 years old are not in education, employment or training. It is very important to increase efforts to reduce youth unemployment through education, training, job creation initiatives. All these measures can have positive effects on both the economic...
  7. Young lunya ni mkali wa flow za hiphop

    Sikiliza freestyle season 3 utakuja kusalute mwenyewe.
  8. Derby ya Azam vs Young African ndio mechi yenye burudani zaidi kwa Tanzania

    Habari wanamichezo, ikiwa siku kadhaa zimesalia kuelekea ufunguzi wa pazia jipya la ligi kuu Tanzania bara. Ikiwa ni mechi ya vigogo wanne waliobora kwa Tanzania hapa nazungumzia Yanga, Simba, Singida na Azam. Hawa ndio waliong'ara katika ligi na katika Azam Federation cup kwa wao kuwa top 4...
  9. Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

    Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia) Yanga itaanzia Raundi ya Kwanza kwa kukipiga na ASAS ya Djibouti, timu itakayoshinda itaingia Raundi ya Pili na kukutana na...
  10. Young Lunya na muonekano mithili ya mrahibu wa dawa za kulevya

    Kwa wasiomfahamu, Young Lunya Ni Moja ya Rappers wenye flow kali hapa Bongo inayoambatana na unyamwezi mwingi. Going to the point, Muonekano wa Young Lunya hivi karibuni umekuwa wa kutia Mashaka, Huenda Msanii huyu ana chembechembe za utumiaji wa madawa kutokana na kupoteza muonekano wake wa...
  11. Je, unafahamu ngoma ya Forever Young ya Jay Z alikuwa na maana gani?

    Nadhani watu wengi wanajua kwamba wimbo wa Forever Young, Jigga alimaanisha kwamba hazeeki, still ana muonekano wa ujana. Yes hii ndio maana inayojulikana na wengi sana huko mtaani, hebu tusome wote hapa; Jay Z ajitangazia kuishi milele ☆ Naomba niwakumbushe tu kuelewa Kingereza,na kuelewa...
  12. R

    Hongera dar-es-salaam young africans

    Twende. Mmeonyesha utofauti na ukomavu mkubwa,Kila jicho lililopata nafasi ya kutazama mechi hii ya Dar es salaam Young Africans na waarabu litakiri hili nalokwenda kulisema. Kiwango cha timu kupambana na kutafuta matokeo chanya uwanjani ni kikubwa sana. Utimamu wa miili na akili za wachezaji...
  13. YOUNG AFRICA 2023 is unforgettable ever ever ever...

    Natumaini wote ni wazima humu.. Nafurahi sana kuwa mshabiki wa yanga. Popote napopita natembea kishujaa kwa kuwa yanga. Mafanikio yaliyopata yanga msimu huu kifedha na kuwakilisha tanzania ni makubwa mnoo. Big up ziende kwa viongozi wetu. Wachezaji wetu. Benchi la ufundi. Nawapa pongezi...
  14. What do I do to look young than my real age?

    Hello, I am interested in learning about how I can take care of my skin to prevent wrinkles. Can you provide me with any advice? Thank you.
  15. FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    Marumo Gallants wapo nyumbani kuwaalika Young Africans katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup kwanzia saa 1:00 usiku kwa hapa nyumbani Tanzania. Mechi ya kwanza iliyopigwa juma moja lililopita Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0. Hivyo matokeo yoyote ya ushindi...
  16. P

    FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

    Updates Half Time Yanga 0-0 Marumo Goal 68" Aziz Ki 70" Yanga 1-0 Marumo Goal 92" Bernard Morison 94" Yanga 2-0 Marumo FT: Yanga 2-0 Marumo Mabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Yanga, jioni ya leo watashuka dimbani uwanja wa Benjamini Mkapa kupambana na timu...
  17. FT: Singida BS 0 - 2 Yanga S.C | NBC Premier League | Liti Stadium| 04.05.2023

    Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Singida Big Stars katika mchezo wa wa ligi ya NBC.. Ikumbukwe katika mchezo wa awali Yanga waliibuka na ushindi wa magoli 4-1 Je nani ataibuka mshindi? 00" Mpira umeanza 03" Mzize anapiga shuti...
  18. FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

    Karibuni katika mtanange mwingine wa NBC Premier League kati ya mabingwa watetezi Young Africans SC dhidi ya Kagera Sugar FC katika dimba la Estadio de Azam Complex muda wa saa moja kamili usiku Kikosi cha Young Africans 👇👇👇 ▪️Vikosi vinaingia uwanjani hapa ▪️0' Mpira unaanza ▪️03' Mayele...
  19. Uzi maalumu wa updates za Rivers United vs Dar es Salaam Young Africans

    Wakati tukisubiria mbugi la kisasi kati ya miamba ya Nigeria na Mabingwa wa kihistoria walioshindikanika hapa Bongo, Nitakuwa nakuletea on hand updates za timu hizi mbili ili ujue kiwango cha mpira cha kila mmoja 📌1)Dar Young Africans walicheza Jana mechi ya Kombe la Azam na kuibuka na ushindi...
  20. Mpinzani wa The Super Dar es Salaam Young Africans kujulikana kesho

    Timu zilizoingia robo fainali kombe la CAF CC ni: 1)Asec Mimosa-Cote d'Ivore 2)Rivers United-Nigeria 3)Marumo Gallants-South Africa 4)Young Africans-Tanzania 5)AS Far Club-Morocco 6)Pyramids-Egypt 7)US Monastrienne-Tunisia 8)USM Alger-Algeria Kuna timu nne za Juu ya Jangwa la Sahara na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…